Gavana Balali Ajiuzulu!

Gavana Balali Ajiuzulu!

Katibu Tarafa,
Ukisha kuwa ndani ya mafia hilo neno angekwisha Sema... halipo kabisa kuna code of silence kule na msemaji yeyote huitwa panya hukumu yake ni kifo hata kama ni baba yako mzazi.... Dr.Balali ni msomi anayajua haya na Mafia ya Bongo isikie tu mjomba ktk bomba, hawakosei kabisa. Wameondolewa makomandoo itakuwa mchovu Balali.
Kwa usalama gani tuliokuwa nao ambao unaweza kumlinda kabla na baada!.
 
Jamani jamani mwogopeni Mungu kidogo na muwe na huruma ya kulinda shahidi wa taifa badala ya kumshutumu.
Kutoka mitaani, kuna ushahidi mkubwa kuwa Dr. Balali kakimbia Bongo kwa usalama wa maisha yake baada ya kuombwa na baadhi ya watu waliokuwa karibu naye hasa navyosikia baada ya yeye kutoa madai kama ya dada yetu marehemu AC kuwa yupo tayari kuyataja majina ya viongozi waliohusika.
Kwa hiyo twende taratibu na swala hili na kama kweli kuna uwezekano Dr. Bilali ahojiwe akiwa huko aliko na sio kuvuta hasira zetu ovyo.
Dr. Balali ni wanted na Mafia ya Bongo na kumtakia mabaya yeye ni kupoteza kabisa uwezekano wa kufahamu kilichotokea benki kuu.

..... Mkandara lakini sasa bado anasubiri nini, maana hatuwezi kujua kama tusiyoombea yatatokea naye anazidi kuwa kimya tuu mpaka leo hii, kwa muda aliokaa huko angeshafanya mahojiano na CNN, FoxNew, ABC na wenginewo kama yule wa Kenya alivyofanya alipokimbilia kule UK,
Si aongee sasa - maana hataweza fanya hilo kama mauti inamkuta. kimya chake ndiyo kina mu-implicate. He's to do more than handing in a resignation note to undo scepticism beleaguering our conscious!

SteveD.
 
Katibu Tarafa,
Ukisha kuwa ndani ya mafia hilo neno angekwisha Sema... halipo kabisa kuna code of silence kule na msemaji yeyote huitwa panya hukumu yake ni kifo hata kama ni baba yako mzazi.... Dr.Balali ni msomi anayajua haya na Mafia ya Bongo isikie tu mjomba ktk bomba, hawakosei kabisa. Wameondolewa makomandoo itakuwa mchovu Balali.
Kwa usalama gani tuliokuwa nao ambao unaweza kumlinda kabla na baada!.

.... aahuh, kwa hiyo anaogopa kifo siyo? na kiapo alichokula kama gavana katika kulitumikia Taifa lake kwa hali na mali kakificha uvunguni?.... labda ndiyo maana hatuna wanamapinduzi wa kweli siku hizi, akifanya yale ambayo wengi tunamwomba na kumtegemea afanye, ataenda kwenye history book kama hero, lakini mpaka hapo atakapofanya hilo tuu, na ninaimani kubwa kuwa akifanya hilo, umma wa Kitanzania unaweza kumsamehe kwa aliyofanya... kwa sasa hivi sisi tunamwona ni mmojawapo au mshirika katika wizi, code ya mafia haituhusu maana kiapo chake kama gavana alikitoa mbele ya Nguzo za Kitaifa, Na hatuwezi kuacha kufanya yale katiba yetu inayotutuma kuyafanya kwa kuogopa kiapo chake kwa hiyo mafia, either way, mauti ni mauti tu, basi na achague moja ambayo itampa rehema ya maisha.

SteveD.
 
Mkuu Jasusi,

Heshima mbele, nakumbuka kule nyuma ulimwambia Masanja, kuwa when the time is right ukweli utajitokeza na kumsafisha gavana, na mimi siku zote nilisema kwamba lets give it a time kujua ukweli wote kabla ya kumhukumu gavana, nakumbuka Mwafrika wa Kike alivyonitwanga, lakini nika-maintain kuwa gavana apewe time, now here comes this news za yeye kujiuzulu kama ilivyotabiriwa, tena akiwa nje ya nchi!

Sina wasi wasi na ukweli wa barua ya Mzee MMJ, kwa sababu najua ameipata wapi, mkuu kwa kweli ninasubiri what you have to say na this topic kwa ujumla!
 
SteveD,
Anasubiri nini ni swali ambalo linategemea na wakati. At the moment yuko safe na hakuna kiongozi yeyote anayeweza kumhakikishia usalama wake. Nikuulize wewe kama ungekuwa ktk postion yake ungefanya nini?...
Ukisema ndio liseni ya kifo na pengine ulosema litabakia ktk Ofisi ya JK kama alivyofanya AC.
Tatizo la watu mnataka awataje mafisadi hadharani wakati kuna sheria na ngazi za kufanya hivyo, huko hakuna usalama hata kidogo unaweza sema yasikifikishwe na ukaondolewa kabla hata habari hazijapelekwa kunakohitajika.
Ndio maana unaona watu kama Dr. Slaa wanaweza kusema hadharani kwa sababu sii watu wa ndani na hawana ushahidi unaoweza kuaminika na mswahili...
Kwa mswahili, shahidi ni yule aliyekuwepo mambo hayo yakifanyika ndio maana hata rais wetu hudai ushahidi wana namna hiyo. Ushahidi ambao it's almost impossible kuupata hasa ktk maswala nyeti kama haya.
Huu ni mtihani mkubwa sawa na ule wa Yesu kwa waimini wake alipowaambia - Mwenye Uhakika awe wa kwanza kurusha jiwe!...hakuna aliyeweza jitokeza unajua kwa nini?...Huwezi kufahamu kuwa mwanamke ni malaya bila wewe mwenyewe kuwa umesha lala naye hivyo wewe mwenyewe pia ni mhusika - Hukumu haitakuacha nje..
This is the case of Balali.
 
Mkandara, Ahsante kwa mawaidha yako....

.... lakini sasa, kwanini amesubiri mpaka report itoke ndiyo ku- tend in his resignation? since resignation yake effect yake ni sawa sawa whether now or any earlier..Amekubali kutolewa kafara?!...well, may be, like you say he is the solely bearer of all that..

SteveD.
 
Kama hasemi watu watakuwa sawa kumjumuisha katika mafisadi.Kama gavana mwenye integrity, hata kama wangemuwekea bunduki kichwani alitakiwa kuukataa ufisadi (si ndiyo kutetea interest za taifa kwa uwezo wako wote huko?). Sasa hii biashara ya kufanya deal, halafu ukishtukiwa mambo ya "Sorry, we gofed" haifai.Vipi kama dili lisingeshtukiwa? angejiuzulu hata kujiuzulu sembuse kusema?

Sasa hivi it is too late hata kama akisema mi nitamuona mzushi tu anataka kutetea legacy yake.Wakati wa kusema ulikuwa mwanzo wakati mafisadi wanafanya vitu vyao.
 
Exactly! Well said Pundit, asante!
 
Pundit,
Kuna nchi za kufanya hayo siyo Tanzania. Leo AC yuko wapi na amefanikisha kitu gani hata kama report ipo kwa mkulu. Watu kwa uzalendo wenu mlidai zaidi ayaseme kwa wanahabari. Dr. Balali is smart than that, kwani akisema ama asiposema results ni sawa, lakini kaokoa uhai wake na familia yake.
Kumbuka msemo wangu hapo juu, hukumu ya wanancchi haitamwacha nje bora mbakie mkikisia hivyo hadi siku sisi wote tutakapo weza kujenga uzalendo wa namna hiyo na kusimama kuweka vifua vyetu mbele kuwatetea watu wanaojaribu kutukomboa.
 
Mkuu Jasusi,

Heshima mbele, nakumbuka kule nyuma ulimwambia Masanja, kuwa when the time is right ukweli utajitokeza na kumsafisha gavana, na mimi siku zote nilisema kwamba lets give it a time kujua ukweli wote kabla ya kumhukumu gavana, nakumbuka Mwafrika wa Kike alivyonitwanga, lakini nika-maintain kuwa gavana apewe time, now here comes this news za yeye kujiuzulu kama ilivyotabiriwa, tena akiwa nje ya nchi!

Sina wasi wasi na ukweli wa barua ya Mzee MMJ, kwa sababu najua ameipata wapi, mkuu kwa kweli ninasubiri what you have to say na this topic kwa ujumla!

Mkulu FMES,

Heshima mbele mkuu, nimekuwa alerted na system kuwa unataka nikupe jibu la niliyosema hapa last time. Sitakuwa na muda mwingi sana wa kujibu maana matumizi ya internet nilipo sasa hivi yako very limited. Mengine zaidi nitajaribu kukujibu jumatatu au baada ya krismams.

Nilikubaliana nawe kuwa Balali anaweza kuwa na pesa zake za kutoka na ajira yake ya WB. Nilipingana nawe kuwa, mshahara wa Balali wa WB hautoshi kumfanya jamaa amiliki majumba kibao na biashara kibao anazomiliki ndani na nje ya nchi. Document zipo na achive yangu na ya Mzee Mwanakijiji inazidi kupokea nyingi zaidi.

Balali sasa hivi ni bilionea ile mbaya, swali je hizi pesa zote ametoa wapi? Unajua kwa nini Balali ameshindwa kufanya alichofanya yule Githongo wa Kenya?

Inawezekana Balali hakupata mgawo mkubwa kwenye skendo ya Meremeta na zingine zilizomweka Kikwete madarakani ila naye ana skendo zake kibao tu ambazo kama akiwasema kina Kikwete basi RO na vijana wa usalama watamwaga file la Balali (wameanza kumwaga sasa hivi ndio maana watu kama sisi tunapata vitu kibao vya balali) ili naye apoteze.

Balali sio safi, anahusika moja kwa moja na ule wizi wa BOT kama Dr Slaa alivyosema kwenye report yake. Kama angekuwa safi angekataa (kumbuka Rutihinda na Kibona) au angefanya chochote kuwazuia Kikwete na the company wasichote mabilioni na kutumia kwenye uchaguzi.

Alternative nyingine aliyonayo ingekuwa ni kufika tu marekani na kuwapigia simu waandishi wa washington post au 60 minutes (ambao so far wanaaminika kwa kutunza siri) ili aseme story yake na baada ya hapo hata mafia hao wa bongo wangeogopa kummaliza.

Mimi na memba fulani hapa JF tumemtafuta Balali tuongee naye na ikiwezekana tumuunganishe na waandishi wa habari hapa US lakini jamaa hataki na anaogopa kila mtanzania aliyeko marekani. Kuna mawili hapa, Balali ni mwizi na anaogopa kuwataja wezi wenzake au Balali anaogopa kila mtu wakiwemo waaandishi wa habari.

So far, hakuna uthibitisho wowote ambao barua yake ya kujiuzulu itaonyesha kuwa Balali ni msafi, labda kama unao mkuu uuutoe..

Otherwise uwe na sikukuu njema na mwaka mpya wenye mafanikio..

Samahani kama sitajibu haraka hoja zako niko mbali sana na ulimwengu wa fast life ya marekani sasa hivi!
 
Jamani jamani mwogopeni Mungu kidogo na muwe na huruma ya kulinda shahidi wa taifa badala ya kumshutumu.
Kutoka mitaani, kuna ushahidi mkubwa kuwa Dr. Balali kakimbia Bongo kwa usalama wa maisha yake baada ya kuombwa na baadhi ya watu waliokuwa karibu naye hasa navyosikia baada ya yeye kutoa madai kama ya dada yetu marehemu AC kuwa yupo tayari kuyataja majina ya viongozi waliohusika.
Kwa hiyo twende taratibu na swala hili na kama kweli kuna uwezekano Dr. Bilali ahojiwe akiwa huko aliko na sio kuvuta hasira zetu ovyo.
Dr. Balali ni wanted na Mafia ya Bongo na kumtakia mabaya yeye ni kupoteza kabisa uwezekano wa kufahamu kilichotokea benki kuu.

Mkandara,

Hakuna lolote, huyu Balali anahusika na ndio maana kakimbia nchi na kujificha huko bila kutamka hata neno moja.

Yeye yuko nje ya nchi, anaogopa nini kusema?

Inabidi ifike mahali tuachane kabisa na mambo ya kuwatetea hawa wanaotuibia.

Yeye kama ana ushahidi aseme wazi, ameogopa kusema akiwa TZ, sasa anaogopa kusema akiwa USA?

Hakuna jipya hapo, jamaa alikuwa anajua, alikuwa mshiriki, sasa
wenzake wanaanza kumruka, yeye anabwabwaja huko aliko?

Mbona hata hospitali alikolazwa hataki kusema? Tulijua Nyerere kalazwa wapi ndio awe fisadi Balali?

Balali asikubali kufa na hizo siri, sasa yuko shimoni, ni bora atoke clean kwa kusema yote.
 
Amina Mtanzania,

ongezea nilichosema hapa kumjibu FMES

Mwafrika wa kike said:
Mkulu FMES,

Heshima mbele mkuu, nimekuwa alerted na system kuwa unataka nikupe jibu la niliyosema hapa last time. Sitakuwa na muda mwingi sana wa kujibu maana matumizi ya internet nilipo sasa hivi yako very limited. Mengine zaidi nitajaribu kukujibu jumatatu au baada ya krismams.

Nilikubaliana nawe kuwa Balali anaweza kuwa na pesa zake za kutoka na ajira yake ya WB. Nilipingana nawe kuwa, mshahara wa Balali wa WB hautoshi kumfanya jamaa amiliki majumba kibao na biashara kibao anazomiliki ndani na nje ya nchi. Document zipo na achive yangu na ya Mzee Mwanakijiji inazidi kupokea nyingi zaidi.

Balali sasa hivi ni bilionea ile mbaya, swali je hizi pesa zote ametoa wapi? Unajua kwa nini Balali ameshindwa kufanya alichofanya yule Githongo wa Kenya?

Inawezekana Balali hakupata mgawo mkubwa kwenye skendo ya Meremeta na zingine zilizomweka Kikwete madarakani ila naye ana skendo zake kibao tu ambazo kama akiwasema kina Kikwete basi RO na vijana wa usalama watamwaga file la Balali (wameanza kumwaga sasa hivi ndio maana watu kama sisi tunapata vitu kibao vya balali) ili naye apoteze.

Balali sio safi, anahusika moja kwa moja na ule wizi wa BOT kama Dr Slaa alivyosema kwenye report yake. Kama angekuwa safi angekataa (kumbuka Rutihinda na Kibona) au angefanya chochote kuwazuia Kikwete na the company wasichote mabilioni na kutumia kwenye uchaguzi.

Alternative nyingine aliyonayo ingekuwa ni kufika tu marekani na kuwapigia simu waandishi wa washington post au 60 minutes (ambao so far wanaaminika kwa kutunza siri) ili aseme story yake na baada ya hapo hata mafia hao wa bongo wangeogopa kummaliza.

Mimi na memba fulani hapa JF tumemtafuta Balali tuongee naye na ikiwezekana tumuunganishe na waandishi wa habari hapa US lakini jamaa hataki na anaogopa kila mtanzania aliyeko marekani. Kuna mawili hapa, Balali ni mwizi na anaogopa kuwataja wezi wenzake au Balali anaogopa kila mtu wakiwemo waaandishi wa habari.

So far, hakuna uthibitisho wowote ambao barua yake ya kujiuzulu itaonyesha kuwa Balali ni msafi, labda kama unao mkuu uuutoe..

Otherwise uwe na sikukuu njema na mwaka mpya wenye mafanikio..

Samahani kama sitajibu haraka hoja zako niko mbali sana na ulimwengu wa fast life ya marekani sasa hivi!
 
Pundit,
Kuna nchi za kufanya hayo siyo Tanzania. Leo AC yuko wapi na amefanikisha kitu gani hata kama report ipo kwa mkulu. Watu kwa uzalendo wenu mlidai zaidi ayaseme kwa wanahabari. Dr. Balali is smart than that, kwani akisema ama asiposema results ni sawa, lakini kaokoa uhai wake na familia yake.
Kumbuka msemo wangu hapo juu, hukumu ya wanancchi haitamwacha nje bora mbakie mkikisia hivyo hadi siku sisi wote tutakapo weza kujenga uzalendo wa namna hiyo na kusimama kuweka vifua vyetu mbele kuwatetea watu wanaojaribu kutukomboa.

Tusisahau ya Kabwe kunusurika na kombeo kumchota Mbatia!
 
Mtanzania,
Akisema then what?...
Unajua uswahilini mtu yeyote anayejaribu kuvunja ndoa huitwa mnafiki!... kwa serikali na utawala wa CCM huu utaitwa unafiki...
kwa hiyo angesema akiwa Bongo angekuwa mnafiki na akisema akiwa USA bado ni mnafiki kwa sababu ndoa haitavunjika na tutaanza kuhoji kwa nini aseme leo baada ya..
 
Tusisahau ya Kabwe kunusurika na kombeo kumchota Mbatia!

According to dataz, mama wakati anafariki alikuwa na shillingi millioni 200 cash, ndani ya gari ambazo zilkuwa ni mabaki ya alizokwisha zigawa mikoa kama 20, ambako alikuwa tayari ameshapitia katika kupiga kampeni ya NEC, na alikuwa amekbakiza mikoa sita zaidi akizunguka kugawa rushwa,

Kumbe kisa na mkasa wa safari, ilikuwa ni kampeni za NEC, I mean Mungu emuweke mahali pema huko mbinguni, lakini damn it!
 
Mtanzania,
Akisema then what?...
Unajua uswahilini mtu yeyote anayejaribu kuvunja ndoa huitwa mnafiki!... kwa serikali na utawala wa CCM huu utaitwa unafiki...
kwa hiyo angesema akiwa Bongo angekuwa mnafiki na akisema akiwa USA bado ni mnafiki kwa sababu ndoa haitavunjika na tutaanza kuhoji kwa nini aseme leo baada ya..

Mkandara,

Mbona Dr. Slaa alisema, kuna watu wakamwita mwongo lakini akaendela kusema? Ukiwa na ushahidi ni rahisi mno kusema. Leo hii hata wale CCM damu hawasemi tena Dr. Slaa mwongo.

Akisema Balali atatusaidia sana kuisafisha Tanzania yetu. Hata kama na yeye ni mhusika, bado kwanini aende na maji peke yake? Atakuwa fara sana kuwakingia kifua watu ambao kwa chini chini wanamchoma visu.

Apate ujasiri kama wa Dr. Slaa na atuambie nani mwizi wa mali zetu. Inabidi ifike mahali tuwashughulikie hawa nyani hata wakituangalia vipi usoni. Ninaweza kumuonea huruma Dr. wa Muhimbili aliyefanya makosa kwenye kazi yake lakini sio hawa waliochota pesa ambazo ni nyingi kuliko mahitaji yao. Wameacha mama na watoto wanakufa.

Hapana, ningelikuwa yule mfalme wa kule Israel, ningesema Balali asulubiwe tu. Hawa jamaa ni hatari mno, maana wanachukua zaidi ya kile wanachohitaji. Hata wanyama wameelemika, kama hawana njaa, wala hawaendi kuwinda. Sasa hawa viongozi wetu kweli wanatia kinyaa!
 
Mtanzania,
nadhani bado hujanielewa. Mtu kama Dr. Slaa hana ushahidi zaidi ya kukusanya makaratasi ambayo kwa mswahili hayana nguvu kortini wala kwa rais. Huyu hana madhara zaidi ya watu kusema sana vijiweni lakini mafisadi wenyewe wanazidi kutesa. Ni korti za migahawani ambako mtu akisema na watu wakisha jua basi inatosha. Hii ndio sifa ya Dr. Slaa ambayo imetumika Kisiasa sio kwa manufaa mengine zaidi, na wananchi tumempa sifa hiyo kisiasa. Alistahii hizo sifa kisiasa nothing else!
Balali is smart that hiyo scenerio ya kiswahili...pili yeye sio mwana siasa na kesha lala na huyo mwanamke malaya. Nimekuuliza vizuri akisha sema then what?... wewe nambie kwa jinsi unavyoifahamu serikali ya TZ pamoja na sisi wenyewe ni kipi kitafuata?
Jamani Mkapa na rada yule pale anadunda na kutuita wajinga. Lowassa na Richmond ni waziri mkuu hadi 2015 atakapo gombea urais. Karamagi ndio kwanza anatafuta wawekeshaji wengine wenye deal nene. What have we done? nothing isipokuwa kuwaona hawa watu heroes na kuwaunga mkono kama vile thanks za JF. Zitto hadi leo hayupo bungeni na wananchi tumekwisha sahau na kamati mpya imeshateuliwa akiwamo Zitto mwenyewe hali bunge na baadhi wananchi bado wanaamini kalidanganya bunge!..
I mean huu mchezo wa kuzungukana mbuyu utakwisha lini! when are gonna be serious.
 
Members wengine wanasema Balali atolewe kafara - mimi sikubali haya mambo ya kafara hatuwezi kuendelea ni lazima awajibishwe hata kama amejiuzulu hawezi kuendelea kula pension wakati pesa ya walalahoi imepotea hiki ni kitendo cha kutaka kula keki yake mwenyewe kwani akifukuzwa hapati marupurupu yake lakini akiacha anayapata tuwe makini hapa kuna mchezo unafanyika.

Viongozi kama hawa ni lazima wafilisiwe mali zao zilizoko Bongo na nje ya nchi ili iwe fundisho kwa wengine wote wasifikirie kututia hasara na kufaidi ujinga wao kwa gharama ya walipa kodi. Naungana kabisa na maneno aliyoyasema Mwanakijiji na Kiranja huko nyuma.

Rwabugiri usiwe na wasi wasi dua la kuku huwa linampata mwewe kwani wote ni wapita njia hapa duniani, na huko tuendako hatuchukui hata senti moja tunarudi kama tulivyokuja.

Swala la report ya BOT kutotangazwa ni pamoja na Rais kutokuwa karibu na maswala ya taifa badala yake kuzurura hovyo kama m**** bangi na kutokuwa na mwelekeo hata mambo kabla hayajaharibika, tukumbuke ahadi zake hewa ambazo kwa muda sasa zinaendelea kuwa nyingi, aliahidi wale wote watakaokumbwa na utekelezaji mbaya wa majukumu yao watakiona cha mtema kuni. Je hicho cha mtema kuni kiko wapi hivi sasa?

Unapotibiwa na pesa ya walipa kodi, kwa nini kunakuwa na usiri wa ugonjwa wake? Hatuwezi kutumia pesa ya walipa kodi wakati huo huo tunaficha magonjwa yao ukweli ni nini? Balali come out na utwambie nani ameiba pesa za walipa kodi? Alishirikiana na nani katika kuiba? Haya ndio maswali yatakayokuweka free for good hata utakapokwenda kwenye haki yako mbele ya mwenyezi mungu.

JK utaendelea hadi lini kuendesha hii nchi kisanii?

Mwafrika wa kike ulisema JK anatafuta nchi ya kukimbilia, Je amekwisha pata au ndio bado majibu kurudi?

Jasusi usimjali huyo banyamulenge ni puppet tu, atasema chochote ili kitumbua chake akitafune.
 
Aaah, hapana Mkandara, umekwenda mbali mno na utetezi wa upande wako.

Asingekuwa Slaa, pasingekuwepo uchunguzi wa BOT, na pengine hata huyu Balali angekuwa bado yupo kwenye kiti cha enzi.

Huyu Balali, hata kama yumo kwenye sistemu ya ulaji, bado tutamshukuru sana kwa kutufumbulia yote na wote waliohusika katika uhujumu huu.

Hata kama yote atakayoyatoa hadharani hayataweza kuleta mabadiliko yoyote kisiasa au kijamii kwa leo hii, au kesho, ni nani anayejua kama hayatakuwa na manufaa kesho na keshokutwa! Manufaa sio lazima leo leo watu wawekwe jela au waachie uongozi.

Kumbuka kuwa, sio opinion ya waTanzania tu itakayobadili mambo. Tunaelewa ni jinsi gani hawa watawala wetu wanavyotaka sifa za kuonekana kuwa watawala bora katika jumuia ya kimataifa. Kadri ushahidi, hata kama ni wa kisiasa unavyozidi kuongezeka, ndio kadri sifa hiyo watakavyoipoteza.

Jambo zuri analoweza kulifanya sasa hivi Balali, ni kutoa ukweli wote ulivyokuwa, bila ya kujali kama yeye pia ni mhusika. Angalau tutaendelea kumheshimu na kumkumbuka kwa kitendo hicho.
 
Dua,
Chukueni mali zote za Balali lakini bado mtakuwa hamja solve problem ambayo ni virus ndani ya uchumi wa nchi yetu. wajomba wanaotumaliza bado wamo ktk system na mkichukua mali zake kesho zitarudi palepale maanake Mafia watamwona kaweza ku keep ahadi.
Kitu muhimu kwetu ni kutafuta mbinu ya kuweza kuyajua yote na kisha kuyafanyia kazi, lakini kama tumeshindwa huko nyuma Balali hawezi kuwa mhanga!...na nani yupo tayari kumtoa mhanga ama ndio maneno yetu ya mtaani tu.
 
Back
Top Bottom