Mnyika,
Umesahau kidogo. Huwa inasema "He who pays the piper calls the tune!"
Na ndicho kinachotokea hapa. Hawa Ernst and Young si tume ya kitaifa au tume huru au kitu kama hicho. Ni wafanyabiashara waliopewa tenda.
Kithuku
Nashukuru...
Kweli aiseee, nimesahau maneno- tafsiri sahihi: Alimpae mpiga zumari ndiye mchagua wimbo!
JJ
unadhani ni Rahisi?Nachokijua ambacho Muungwana amewaagiza watu wa Usalama Wa taifa,document ambayo imeandikwa SIRI,basi mtu akiivujisha ajue anapoteza kazi na kushughulikiwa kwa sheria za nchi,kuna usiri mkubwa katika kupata ripoti za serikali hasa zilizonadikwa ni siri.
bado hujapatia amlipae sio alimpae, pupa ya nn mkuu, taratibu ktk uandishi unaharaka utadhan i unaiba!!
mie nnaona hakuna alie nayo maneno tu.kwa kimbele mbele cha jamvi hili utadhani mimba ingekuwa ishwekwa dahari.
hayo majigambo tu hamna lolote
mie nnaona hakuna alie nayo maneno tu.
kwa kimbele mbele cha jamvi hili utadhani mimba ingekuwa ishwekwa dahari.
hayo majigambo tu hamna lolote
alikuwa amelala? teh teh!