FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

Inawezekana hayapo mbali, kuna maandiko yanasema baada ya kuja kwa yesu kuchukua kanisa "unyakuo", Shetani atatawala waliobaki Duniani miaka 1000, hakutakuwa na MAGONJWA WALA VIFO, hadi hio miaka itakapoisha, na unyakuo haupo mbali.

Na hizo tabia za kutokuwa na huruma, umoja n.k ni tabia za mamlaka ya Shetani, inawezekana Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe) ili mjiandae, Hawa malimbukeni wengine " Harry Potter anawaita maggot" yatawatokea by surprise

Wala usisumbue kuwaambia, utaishia kutukanwa
Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe)
 
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu kinawatisha washika imani basi ni kifo na ukomo wao umeishia kutumainia maisha mapya huko mbinguni baada ya kufa

Je kisayansi tunaliwekaje hili? Wenzetu wenye kuwaza zaidi walijiongeza pale imani ilipoishia na kutamani kupata suluhu ya kutokufa milele bila kufa kimwili
Ulimwengu wa dunia ijayo kutakuwa hakuna kufa tena LAKINI hii haitakuwa kwa wote bali kwa wenye uwezo wa kumiliki uhai mpya baada ya ule wa mwanzo kuchakaa, yaani uhai mpya utakuwa ni bidhaa adhimu ya kuuzwa kwa wenye uwezo

Je hii itawezekanaje? Naweza kuonekana chizi sasa hivi kwa hiki ninachokiandika lakini kuna wakati kitatamalaki sote tukiwa hatupo tena

Uhai mpya utapimiwa kwa kipimo cha muda na kila kipimo kitakuwa na ubora wake na sifa zake
Kipimo cha miaka 5 bila magonjwa wala uchakavu wa haraka nk
Kipimo cha miaka 10 bila magonjwa, bila njaa, bila kufanya update nk
Kipimo cha miaka 20 na kupata kila unachotaka, kuanzia size ya sehemu za siri mpaka aina ya libido na kwa vipindi gani..

Hiyo ni mifano michache tu ya hayo yajayo yasiyawazika kwamba uatakuja kutokea na kuwa halisi
Kama haya yaliwezekana basi hata tunayoyawaza sasa kuna siku yatatimia.. Maisha bila kifo

Walianza na kupandikiza mimba ikawezekana
Wakaja na watoto wa chupa nalo likawa
Ikafuatilia kumtoa mtu nakala(cloning) nalo limewezekana
Lijalo kubwa ni hili la kuhifadhiwa kumbukumbu zako zote mpaka sura .. Hii ni updated version ya cloning.. Na likitokea la kukutokea fasta version yako iliyohifadhiwa inapandikizwa kwenye mwili mpya maisha yanaendelea

LAKINI
Haya yote yatakuwa kwa wenye uwezo wa kifedha tuu
Hakutakuwa na upendo kati ya mtu na mtu
Familia zitaparaganyika kwakuwa mzazi hatakuwa na uwezo wa kumgharamia kila mtoto version ya maisha mapya
Kwa kifupi population duniani itapungua mno kwakuwa hata kuzaana hakutakuwa kama huku kwa sasa

Watoto watazaliwa na mashine, zaidi ya vinasaba vya kijenetiki vinavyotengeneza muunganiko wa kibailojia na wazazi ambao hata hivyo nao utafanyika maabara, hakuna mahali mzazi mmoja atabeba mimba
Kutakuwa na watoto wa wazazi wa jinsia moja ama kutakuwa na watoto wa wazazi zaidi ya mmoja kutokana na vinasaba kutoka watu tofauti
Wazazi watapanga wanataka mtoto wa aina gani kuanzia kimo, maumbile rangi akili alama maalum nknk

Nina mengi ya kuandika kwenye hili lakini moja kubwa na la kutisha sana hakutakuwa na huruma, umoja, ujamaa upendo nk, na watu watakuwa na uwezo wa kutoa oda ya aina ya watu watengenezewe kwa matumizi yao binafsi

Dunia ya tatu itaangamia/itaangamizwa kwa kiwango kikubwa lakini watabakisha wachache kwa ajili ya majiribio yao na matumizi mengineyo kwa mahitaji yao.. Utumwa ujao urakuwa mbaya kuliko ulopita

Survival of the fittest will bare the real life!
Hatutaishi kuyaona haya pengine! Na waumini na waamini pengine hawatakuwepo tena huku dini ikiwa ni kitu kisichokuwepo tena kikibaki kama hekaya za simulizi za kufikirika
Yote uliyoeleza yanawezekana kutokana na maendeleo ya teknolojia!

Lakini la kutokufa milele lina walakini!

Unaujua mfumo na kanuni ya utajiri ama kuhodhi ukwasi?

Kwa mfano wako, zaweza kupita miaka hata elfu mtu akiwa tajiri, lakini hawezi kuwa tajiri milele.

Kwa hiyo ufukara utakapoingia, kifo nacho kitapiga hodi!

Pia kifo ni"option" mbadala ambao mtu huweza kukitafuta ili kukwepa jukumu flani ama kwa manufaa flani ama kwa kuchoka tu na maisha!
 
Hata ambayo yalidhaniwa kutowezekana kamwe hapo kabla sasa hivi yanaonekana ya kawaida
 
Mimba za maabara zitauwa vingi
FB_IMG_1669769526706.jpg
 
Maandiko yalishasema hayo katika ufuo hayo yatatokes baada ya unyakuo wa kwanza, roho mtakatifu atakuwa ameshaondoka baada ya watakatifu wa kwanza kunyakuliwa
 
Inawezekana hayapo mbali, kuna maandiko yanasema baada ya kuja kwa yesu kuchukua kanisa "unyakuo", Shetani atatawala waliobaki Duniani miaka 1000, hakutakuwa na MAGONJWA WALA VIFO, hadi hio miaka itakapoisha, na unyakuo haupo mbali.

Na hizo tabia za kutokuwa na huruma, umoja n.k ni tabia za mamlaka ya Shetani, inawezekana Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe) ili mjiandae, Hawa malimbukeni wengine " Harry Potter anawaita maggot" yatawatokea by surprise

Wala usisumbue kuwaambia, utaishia kutukanwa
Nyie watu wa dini hampendi kabisa kujifunza nje ya mlichokalilishwa huko miskitini na makanisani

Rubbish!!!
 
Nikiskia neno unyakuo huwa nafurahi sana, unyakuo ndio nini unyakuliwe kwenda wapi wewee mswahili? Huyo mnyakuaji atanyakua kizazi gani? Kilichokwepo wakati wake na wakati huu ama na vizazi vilivyokwepo kabla yake kuanzia kwa Adam?
 
Atanyakua watakatifu walio hai, hao waliopumzika, wataendelea kupumzika mpaka parapanda itakapolia ndio watafufuliwa
 
Baada ya unyakuo kifo kitakoma, watu watakitafuta kifo nacho kitawakimbia, upendo hautakuwepo Tena, kama tunavyoona upendo unavyopotea na ukatili unazidi kuwa mkubwa
 
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu kinawatisha washika imani basi ni kifo na ukomo wao umeishia kutumainia maisha mapya huko mbinguni baada ya kufa

Je kisayansi tunaliwekaje hili? Wenzetu wenye kuwaza zaidi walijiongeza pale imani ilipoishia na kutamani kupata suluhu ya kutokufa milele bila kufa kimwili
Ulimwengu wa dunia ijayo kutakuwa hakuna kufa tena LAKINI hii haitakuwa kwa wote bali kwa wenye uwezo wa kumiliki uhai mpya baada ya ule wa mwanzo kuchakaa, yaani uhai mpya utakuwa ni bidhaa adhimu ya kuuzwa kwa wenye uwezo

Je hii itawezekanaje? Naweza kuonekana chizi sasa hivi kwa hiki ninachokiandika lakini kuna wakati kitatamalaki sote tukiwa hatupo tena

Uhai mpya utapimiwa kwa kipimo cha muda na kila kipimo kitakuwa na ubora wake na sifa zake
Kipimo cha miaka 5 bila magonjwa wala uchakavu wa haraka nk
Kipimo cha miaka 10 bila magonjwa, bila njaa, bila kufanya update nk
Kipimo cha miaka 20 na kupata kila unachotaka, kuanzia size ya sehemu za siri mpaka aina ya libido na kwa vipindi gani..

Hiyo ni mifano michache tu ya hayo yajayo yasiyawazika kwamba uatakuja kutokea na kuwa halisi
Kama haya yaliwezekana basi hata tunayoyawaza sasa kuna siku yatatimia.. Maisha bila kifo

Walianza na kupandikiza mimba ikawezekana
Wakaja na watoto wa chupa nalo likawa
Ikafuatilia kumtoa mtu nakala(cloning) nalo limewezekana
Lijalo kubwa ni hili la kuhifadhiwa kumbukumbu zako zote mpaka sura .. Hii ni updated version ya cloning.. Na likitokea la kukutokea fasta version yako iliyohifadhiwa inapandikizwa kwenye mwili mpya maisha yanaendelea

LAKINI
Haya yote yatakuwa kwa wenye uwezo wa kifedha tuu
Hakutakuwa na upendo kati ya mtu na mtu
Familia zitaparaganyika kwakuwa mzazi hatakuwa na uwezo wa kumgharamia kila mtoto version ya maisha mapya
Kwa kifupi population duniani itapungua mno kwakuwa hata kuzaana hakutakuwa kama huku kwa sasa

Watoto watazaliwa na mashine, zaidi ya vinasaba vya kijenetiki vinavyotengeneza muunganiko wa kibailojia na wazazi ambao hata hivyo nao utafanyika maabara, hakuna mahali mzazi mmoja atabeba mimba
Kutakuwa na watoto wa wazazi wa jinsia moja ama kutakuwa na watoto wa wazazi zaidi ya mmoja kutokana na vinasaba kutoka watu tofauti
Wazazi watapanga wanataka mtoto wa aina gani kuanzia kimo, maumbile rangi akili alama maalum nknk

Nina mengi ya kuandika kwenye hili lakini moja kubwa na la kutisha sana hakutakuwa na huruma, umoja, ujamaa upendo nk, na watu watakuwa na uwezo wa kutoa oda ya aina ya watu watengenezewe kwa matumizi yao binafsi

Dunia ya tatu itaangamia/itaangamizwa kwa kiwango kikubwa lakini watabakisha wachache kwa ajili ya majiribio yao na matumizi mengineyo kwa mahitaji yao.. Utumwa ujao urakuwa mbaya kuliko ulopita

Survival of the fittest will bare the real life!
Hatutaishi kuyaona haya pengine! Na waumini na waamini pengine hawatakuwepo tena huku dini ikiwa ni kitu kisichokuwepo tena kikibaki kama hekaya za simulizi za kufikirika
That will be new version ya human being, lakini hatakuwa mtu mwenye nafsi na Roho yenye sura ya Mungu, atakuwa mtu ambaye hana asili ya Mungu katika utu wake wa ndani, ambao ndio mtu halisi, utu wa ndani wenye sura ya Mungu una upendo, huruma , ukarimu, imani na ibada kwa Muumba.
 
napenda sana mada hizi za kufikirika zenye kutumia akili sana na kutaka kuonekana za uhalisia zikilinganishwa na wakati uliopita, uliopo na ujao. Hongera mkuu Mshana Jr
 
Haya uliyoandika yote ni movie tu zipo kibao zimetemgenezwa sio uhalisia

Sio tu kumfanya mtu aishi milele bali hata kumfanya binadamu wa Sasa waishi miaka 800 au 900 kama binadamu wa Zamani hawawezi

Na ni Bora wangeanza kufikiria hili la kurefusha miaka kutoka 70 ya yasasa Hadi miaka 700 kama watu wa Zamani wakifanikiwa ndio wafikirie Hilo la kuishi milele
 
Back
Top Bottom