Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,110
- 859,341
- Thread starter
- #121
sasa ikiwa binadamu atafanikiwa kuiretain, kuicontrol, kuitunza iyo pumzi, hapo ndio utakuwa mwisho na mwanzo wa maisha mapya ya milele..Bro hii conspiracy itawezekana pale tuu, binadamu ataweza kujiumba, na ili aweze kujiumba ni pale ama atakapo fanikiwa kumuona muumba, ambaye ndie Mungu ambaye ametuumba. Ndio maana hakuna binadaam aliyewai kumuona Muumba ktk asili yake, bali vitabu vya dini vinaonyesha kwamba Mungu amewatokea wanadamu ktk fomu mbalimbali na si ktk unature wake. Unajua kwanini Mungu hawezi kujitokeza ktk u natute wake, kwa sababu once binadamu atakapo muona tuu, basi ndio siku itakuwa mwanzo wa huyu binadamu kishi milele ktk huu huu mwili wa asili bila kufa.
Mbali na apo, huyu binadamu atajaribu tuu kuishi milele kwa fomu zingine artificials mbalimbali, kama hizi unazozielewa, hii ni kwasababu hizi fomu ni kwamba binadamu anaweza kujiona mwenyewe kupitia vitu kadhaa, kama mind, ubongo, damu, nk.
Means, SIKU BINADAMU AKIWEZA MUONA MUNGU... MAANA YAKE AMEWEZA KUIONA ILE PUNZI YA UHAI ILIYONDANI YAKE, AMBAYO ILE PUMZI HUWA INATOKA PALE BINADAMU ANAPOKUFA.. sasa ikiwa binadamu atafanikiwa kuiretain, kuicontrol, kuitunza iyo pumzi, hapo ndio utakuwa mwisho na mwanzo wa maisha mapya ya milele..
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha[emoji1545]