FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

Mbona haya yameshaanza? Huko kwenye plastic surgery na mambo ya dirdo! Unajua tayari kuna midoli kama binadamu kabisa na ina shepu mbalimbali na maumbo pia kwa jinsia zote!
Nakubaliana na wewe mkuu... Ila swala la kuishi milele hilo ni uncertainty... Hiyo ni nature na biology invyosema..
 
Viumbe hai wakiacha kuzaana, na kifo automatically kitatoweka. Tukiacha kuzaana, Nature will intervin kuhakikisha viumbe hai wanaendelea ku- exist na hivyo kifo kitatoweka iwe ni kwa muda au vinginevyo.

Ukifikiri kwa kina, utagundua Nature inataka huu Ulimwengu usiwe na ombwe la viumbe hai na pia idadi ya viumbe hai isizidi kiwango kilichopangwa kwani kikizidi, life in this world would be impossible.

Hata tendo la ndoa kuambatana na raha/utamu ni mkakati wa Nature kuhakikisha viumbe wanazaana na hivyo kuhakikisha dunia haina ombwe la viumbe hai.

Inawezekana kabida nguvu za asili( Nature) zinafaidika na uwepo wa viumbe hai katika huu Ulimwengu bila sisi kutambua kama ambvyo sisi binadamu tunavyofaidika na kufuga mifugo bila mifugo hiyo kujua inatunufaisha.

Ipo siku nitaandika kwa kirefu hii mada ingawa inaonekana ni ya kufikirika.
Hapo uliposema “inawezekana kabisa nguvu za asili(nature) zinafaidika na uwepo wa viumbe hai kwenye huu ulimwengu” ni pakubwa sana,tena sana!! Labda ipo siku tutakuja kulijua hili kwa undani!!
 
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu kinawatisha washika imani basi ni kifo na ukomo wao umeishia kutumainia maisha mapya huko mbinguni baada ya kufa

Je kisayansi tunaliwekaje hili? Wenzetu wenye kuwaza zaidi walijiongeza pale imani ilipoishia na kutamani kupata suluhu ya kutokufa milele bila kufa kimwili
Ulimwengu wa dunia ijayo kutakuwa hakuna kufa tena LAKINI hii haitakuwa kwa wote bali kwa wenye uwezo wa kumiliki uhai mpya baada ya ule wa mwanzo kuchakaa, yaani uhai mpya utakuwa ni bidhaa adhimu ya kuuzwa kwa wenye uwezo

Je hii itawezekanaje? Naweza kuonekana chizi sasa hivi kwa hiki ninachokiandika lakini kuna wakati kitatamalaki sote tukiwa hatupo tena

Uhai mpya utapimiwa kwa kipimo cha muda na kila kipimo kitakuwa na ubora wake na sifa zake
Kipimo cha miaka 5 bila magonjwa wala uchakavu wa haraka nk
Kipimo cha miaka 10 bila magonjwa, bila njaa, bila kufanya update nk
Kipimo cha miaka 20 na kupata kila unachotaka, kuanzia size ya sehemu za siri mpaka aina ya libido na kwa vipindi gani..

Hiyo ni mifano michache tu ya hayo yajayo yasiyawazika kwamba uatakuja kutokea na kuwa halisi
Kama haya yaliwezekana basi hata tunayoyawaza sasa kuna siku yatatimia.. Maisha bila kifo

Walianza na kupandikiza mimba ikawezekana
Wakaja na watoto wa chupa nalo likawa
Ikafuatilia kumtoa mtu nakala(cloning) nalo limewezekana
Lijalo kubwa ni hili la kuhifadhiwa kumbukumbu zako zote mpaka sura .. Hii ni updated version ya cloning.. Na likitokea la kukutokea fasta version yako iliyohifadhiwa inapandikizwa kwenye mwili mpya maisha yanaendelea

LAKINI
Haya yote yatakuwa kwa wenye uwezo wa kifedha tuu
Hakutakuwa na upendo kati ya mtu na mtu
Familia zitaparaganyika kwakuwa mzazi hatakuwa na uwezo wa kumgharamia kila mtoto version ya maisha mapya
Kwa kifupi population duniani itapungua mno kwakuwa hata kuzaana hakutakuwa kama huku kwa sasa

Watoto watazaliwa na mashine, zaidi ya vinasaba vya kijenetiki vinavyotengeneza muunganiko wa kibailojia na wazazi ambao hata hivyo nao utafanyika maabara, hakuna mahali mzazi mmoja atabeba mimba
Kutakuwa na watoto wa wazazi wa jinsia moja ama kutakuwa na watoto wa wazazi zaidi ya mmoja kutokana na vinasaba kutoka watu tofauti
Wazazi watapanga wanataka mtoto wa aina gani kuanzia kimo, maumbile rangi akili alama maalum nknk

Nina mengi ya kuandika kwenye hili lakini moja kubwa na la kutisha sana hakutakuwa na huruma, umoja, ujamaa upendo nk, na watu watakuwa na uwezo wa kutoa oda ya aina ya watu watengenezewe kwa matumizi yao binafsi

Dunia ya tatu itaangamia/itaangamizwa kwa kiwango kikubwa lakini watabakisha wachache kwa ajili ya majiribio yao na matumizi mengineyo kwa mahitaji yao.. Utumwa ujao urakuwa mbaya kuliko ulopita

Survival of the fittest will bare the real life!
Hatutaishi kuyaona haya pengine! Na waumini na waamini pengine hawatakuwepo tena huku dini ikiwa ni kitu kisichokuwepo tena kikibaki kama hekaya za simulizi za kufikirika
kumbe na ww n ANTI GOD

kumbe na ww ni atheist maana YEYE anasema kila nafsi itaonja mauti (na pengne anashuhudia kuwa " mshahara wa dhambi ni mauti ") ww unasema in the near future hakuna kifo .......sababu ya wanasayanci ......daaaah ,,,,so sad ,,,,,,it seems ure lacking basic knowledge about cytology*
 
Huwa mara nyingi sana Shetani hutumia Watu wenye uelewa flani ili wawashawishi Watu wengi kumpinga Mungu
 
Ipo ingine inaitwa Altered Carbon
Watched #StarTrekDS9 S3 EP17 "Visionary". After a radiation accident O'Brien starts to leapfrog into the future, he sees his own death. The Romulans arrive for their intelligence briefing about the Dominion. The Romulans don't make event pleasant for the crew. #StarTrek   
 
kumbe na ww n ANTI GOD

kumbe na ww ni atheist maana YEYE anasema kila nafsi itaonja mauti (na pengne anashuhudia kuwa " mshahara wa dhambi ni mauti ") ww unasema in the near future hakuna kifo .......sababu ya wanasayanci ......daaaah ,,,,so sad ,,,,,,it seems ure lacking basic knowledge about cytology*
Toka nje ya box la kiimani kuna mengi ya kujifunza huko nje..! Mimi nina thabiti kuliko wewe na ninaweza kuitetea kwa ithibati jadidi kutokana na niliyoyaona, kuyasoma, kuyafanya kwa vitendo na kuishi nayo! Ila imani yangu kwa Mungu wangu hainizuii kujifunza mengine nje yake
20221129_161151.jpg
 
Toka nje ya box la kiimani kuna mengi ya kujifunza huko nje..! Mimi nina thabiti kuliko wewe na ninaweza kuitetea kwa ithibati jadidi kutokana na niliyoyaona, kuyasoma, kuyafanya kwa vitendo na kuishi nayo! Ila imani yangu kwa Mungu wangu hainizuii kujifunza mengine nje yakeView attachment 2430842
haina noma ngoja m niendelee kukaa ndani ya boksi ww toka nje ya boksi 😇🤣😅🤣😅 ....labda kama ulikua hujui JF does not exist hata ww piah huexist.....hata iyo keyboard uliyoitype haiexist....nimejaribu kutoka ndani ya boksi.....vituo vya polisi piah havipo we nenda tuu kakunye pale central afu kisha umkojolee afande maana haexist ukimaliza shushia na msokoto wa bangi🤣😅😇😅 ,,,, ,,,,,nje ya boksi kunatisha,,,nishatoka nje ya imani tayar ,,,ivi tulikuwa tunazungumzia nn vile???@
 
Kwenye series ya the the 100 niliona wakihifadhi kumbukumbu za mtu wa zamani na kuziingiza kwenye mwili mpya. Pia walionyesha teknolojia mtu analala na kuamka baada ya miaka 100 bila kuzeeka na akiwa na kumbukumbu zake waliiita cryo sleep.

Anyways to some extent I believe what you have written here.
 
Back
Top Bottom