FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

haina noma ngoja m niendelee kukaa ndani ya boksi ww toka nje ya boksi ....labda kama ulikua hujui JF does not exist hata ww piah huexist.....hata iyo keyboard uliyoitype haiexist....nimejaribu kutoka ndani ya boksi.....vituo vya polisi piah havipo we nenda tuu kakunye pale central afu kisha umkojolee afande maana haexist ukimaliza shushia na msokoto wa bangi ,,,, ,,,,,nje ya boksi kunatisha,,,nishatoka nje ya imani tayar ,,,ivi tulikuwa tunazungumzia nn vile???@
It's all fun Trying to tease me?
I mean really, not to come across as insulting but if you do possess any kind of intelligence, .....!
It's a matter of life and death by now
It's about the future of your children and grandchildren or soon they will have to pay f healthcare access or even this free oxygen!
The future is all about survival of the fittest!
Naona tuko dunia mbili tofauti kabisa
 
Kwenye series ya the the 100 niliona wakihifadhi kumbukumbu za mtu wa zamani na kuziingiza kwenye mwili mpya. Pia walionyesha teknolojia mtu analala na kuamka baada ya miaka 100 bila kuzeeka na akiwa na kumbukumbu zake waliiita cryo sleep.

Anyways to some extent I believe what you have written here.
Wenye kuona na kuwaza mbali tayari wameshatuacha nyuma hatua elfu kumi...
 
Watched #StarTrekDS9 S3 EP17 "Visionary". After a radiation accident O'Brien starts to leapfrog into the future, he sees his own death. The Romulans arrive for their intelligence briefing about the Dominion. The Romulans don't make event pleasant for the crew. #StarTrek   
Nitaitafuta iyo episode mkuu...hiyo nmeangalia movie yake na si series
 
Hebu chimba human cloning project za CIA, KGB na MOSSAD kuna mengi humo ya kushangaza mixer ya sayansi uchawi Mungu na miungu
Tuanzie hapa kwanza
Screenshot_2022-11-29-16-55-55-19.jpg
 
Napenda mada zako ila leo nikuulize uliwaza nini kwa imani yako?
 
Niliwahi andika Kwa kifupi Jambo HiloMbinguni sio salama, ni propaganda tu!
Kuna ndugu mmoja aliwahi kuniambia hakuna mahali unaweza kusema hapa ndio mbinguni au hapa ndio motoni.
Kwamba jehenamu au peponi ni hali wala sio mahali

Huyo alieniambia hivyo ni kiongozi mkubwa wa kanisa haya madhehebu makubwa kabisa , na ni msomi mkubwa sana wa falsafa theolojia na historia kwa ngazi Phd.
 
Unajua we ni mkongwe hpa hlf unaandika Pumba kama hizi

Embu jitafakari bhna
Kufa kupo na alokufa harudi
Kifo ni kinywaji kila mmoja atakinywa
Kifo ni mlango kila mmoja atapita
Kifo ni nguo kila mmoja atakivaa
Taratibu,kama vipi kanywe pombe ndio utamuelewa mshanajr. Ungeambiwa habari za smartphone na maswala ya rocket science ungebisha kwa kejeli kama hivi ila Mungu ni mwema upo hai unayashuhudia.
Unachokiona hakiwezekani wapo watu wanawaza kitawezekana vipi.
Elimu,elimu,elimu.........
 
Kumbe mimi si wa kwanza kuandika

The aims of the transhumanist movement are summed up by Mark O’Connell in his book To Be a Machine, which last week won the Wellcome Book prize. “It is their belief that we can and should eradicate ageing as a cause of death; that we can and should use technology to augment our bodies and our minds; that we can and should merge with machines, remaking ourselves, finally, in the image of our own higher ideals.”

The idea of technologically enhancing our bodies is not new. But the extent to which transhumanists take the concept is. In the past, we made devices such as wooden legs, hearing aids, spectacles and false teeth. In future, we might use implants to augment our senses so we can detect infrared or ultraviolet radiation directly or boost our cognitive processes by connecting ourselves to memory chips. Ultimately, by merging man and machine, science will produce humans who have vastly increased intelligence, strength, and lifespans; a near embodiment of gods.

Is that a desirable goal? Advocates of transhumanism believe there are spectacular rewards to be reaped from going beyond the natural barriers and limitations that constitute an ordinary human being. But to do so would raise a host of ethical problems and dilemmas. As O’Connell’s book indicates, the ambitions of transhumanism are now rising up our intellectual agenda. But this is a debate that is only just beginning.
 
Taratibu,kama vipi kanywe pombe ndio utamuelewa mshanajr. Ungeambiwa habari za smartphone na maswala ya rocket science ungebisha kwa kejeli kama hivi ila Mungu ni mwema upo hai unayashuhudia.
Unachokiona hakiwezekani wapo watu wanawaza kitawezekana vipi.
Elimu,elimu,elimu.........
Acha kuamini ujinga ww
Unajikuta Elimu kumbe ww ndo hamnazo kabisaaaa
Nani alokufa akafufuka?
Kma kweli wangekua na elimu hiyo si wangemfufua japo uyo Queen
 
Watu wanaweza wakaona utani ila ukimsikiliza yule Elon musk kwenye speech zake yule ndio anaonekana anajua haswa the future ya hii dunia.
 
Inawezekana hayapo mbali, kuna maandiko yanasema baada ya kuja kwa yesu kuchukua kanisa "unyakuo", Shetani atatawala waliobaki Duniani miaka 1000, hakutakuwa na MAGONJWA WALA VIFO, hadi hio miaka itakapoisha, na unyakuo haupo mbali.

Na hizo tabia za kutokuwa na huruma, umoja n.k ni tabia za mamlaka ya Shetani, inawezekana Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe) ili mjiandae, Hawa malimbukeni wengine " Harry Potter anawaita maggot" yatawatokea by surprise

Wala usisumbue kuwaambia, utaishia kutukanwa
 
Back
Top Bottom