FUTURE INTELLIGENCE: Hakutakuwa na vifo tena, lakini...

Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe)
Na yeye akatuibia sisi ambao kila iitwapo leo tunashukuru na kusema Dunia imejizungusha kwenye mhimili wake, Shetani ni mtawala wa Dunia ila pia Kuna Mungu mkuu, ahsante mtoa mada unatufanya tufikirie mengi na ikiwezekana tutoke nje ya box, ingawa Ni ngumu
 
Haya uliyoandika yote ni movie tu zipo kibao zimetemgenezwa sio uhalisia

Sio tu kumfanya mtu aishi milele bali hata kumfanya binadamu wa Sasa waishi miaka 800 au 900 kama binadamu wa Zamani hawawezi

Na ni Bora wangeanza kufikiria hili la kurefusha miaka kutoka 70 ya yasasa Hadi miaka 700 kama watu wa Zamani wakifanikiwa ndio wafikirie Hilo la kuishi milele
Mkuu movie ni fasihi andishi, movie hutolewa na msanii.....MSANII ni mtu anayetumia muda wake mwingi kutunga/kubuni kazi ya fasihi ili kufikisha ujumbe kwa hadhira inayokusudiwa.
 
Na yeye akatuibia sisi ambao kila iitwapo leo tunashukuru na kusema Dunia imejizungusha kwenye mhimili wake, Shetani ni mtawala wa Dunia ila pia Kuna Mungu mkuu, ahsante mtoa mada unatufanya tufikirie mengi na ikiwezekana tutoke nje ya box, ingawa Ni ngumu
 
Kundi la makampuni ya Unicon limesema kuwa leo Desemba 2, 2022, nchini Nigeria litazindua roboti ya kwanza barani Afrika yenye sura ya binadamu inayoitwa Omeife, na kwamba miongoni mwa lugha zitakazotumiwa na roboti huyo ipo lugha ya Kiswahili.
20221204_052444.jpg
 
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu kinawatisha washika imani basi ni kifo na ukomo wao umeishia kutumainia maisha mapya huko mbinguni baada ya kufa

Je kisayansi tunaliwekaje hili? Wenzetu wenye kuwaza zaidi walijiongeza pale imani ilipoishia na kutamani kupata suluhu ya kutokufa milele bila kufa kimwili
Ulimwengu wa dunia ijayo kutakuwa hakuna kufa tena LAKINI hii haitakuwa kwa wote bali kwa wenye uwezo wa kumiliki uhai mpya baada ya ule wa mwanzo kuchakaa, yaani uhai mpya utakuwa ni bidhaa adhimu ya kuuzwa kwa wenye uwezo

Je hii itawezekanaje? Naweza kuonekana chizi sasa hivi kwa hiki ninachokiandika lakini kuna wakati kitatamalaki sote tukiwa hatupo tena

Uhai mpya utapimiwa kwa kipimo cha muda na kila kipimo kitakuwa na ubora wake na sifa zake
Kipimo cha miaka 5 bila magonjwa wala uchakavu wa haraka nk
Kipimo cha miaka 10 bila magonjwa, bila njaa, bila kufanya update nk
Kipimo cha miaka 20 na kupata kila unachotaka, kuanzia size ya sehemu za siri mpaka aina ya libido na kwa vipindi gani..

Hiyo ni mifano michache tu ya hayo yajayo yasiyawazika kwamba uatakuja kutokea na kuwa halisi
Kama haya yaliwezekana basi hata tunayoyawaza sasa kuna siku yatatimia.. Maisha bila kifo

Walianza na kupandikiza mimba ikawezekana
Wakaja na watoto wa chupa nalo likawa
Ikafuatilia kumtoa mtu nakala(cloning) nalo limewezekana
Lijalo kubwa ni hili la kuhifadhiwa kumbukumbu zako zote mpaka sura .. Hii ni updated version ya cloning.. Na likitokea la kukutokea fasta version yako iliyohifadhiwa inapandikizwa kwenye mwili mpya maisha yanaendelea

LAKINI
Haya yote yatakuwa kwa wenye uwezo wa kifedha tuu
Hakutakuwa na upendo kati ya mtu na mtu
Familia zitaparaganyika kwakuwa mzazi hatakuwa na uwezo wa kumgharamia kila mtoto version ya maisha mapya
Kwa kifupi population duniani itapungua mno kwakuwa hata kuzaana hakutakuwa kama huku kwa sasa

Watoto watazaliwa na mashine, zaidi ya vinasaba vya kijenetiki vinavyotengeneza muunganiko wa kibailojia na wazazi ambao hata hivyo nao utafanyika maabara, hakuna mahali mzazi mmoja atabeba mimba
Kutakuwa na watoto wa wazazi wa jinsia moja ama kutakuwa na watoto wa wazazi zaidi ya mmoja kutokana na vinasaba kutoka watu tofauti
Wazazi watapanga wanataka mtoto wa aina gani kuanzia kimo, maumbile rangi akili alama maalum nknk

Nina mengi ya kuandika kwenye hili lakini moja kubwa na la kutisha sana hakutakuwa na huruma, umoja, ujamaa upendo nk, na watu watakuwa na uwezo wa kutoa oda ya aina ya watu watengenezewe kwa matumizi yao binafsi

Dunia ya tatu itaangamia/itaangamizwa kwa kiwango kikubwa lakini watabakisha wachache kwa ajili ya majiribio yao na matumizi mengineyo kwa mahitaji yao.. Utumwa ujao urakuwa mbaya kuliko ulopita

Survival of the fittest will bare the real life!
Hatutaishi kuyaona haya pengine! Na waumini na waamini pengine hawatakuwepo tena huku dini ikiwa ni kitu kisichokuwepo tena kikibaki kama hekaya za simulizi za kufikirika
Thibitisha.
 
Kuna ukweli na mambo yanaenda kasi sana siku hizi.

Miaka ya 60's ukiongelea suala la simu ndogo ya kukaa mfukoni ulikua unaonekana juha ila sasa hivi hizo simu ni jambo la kawaida na tunashangaa zamani waliishije iahije bila simu.

Hata sio mbali miaka ya 90 tu hapo, smartphone lilikua ni jambo la kufikirika kabisa, lakini saivi ni kawaida kua nayo.
Hapo ni upande wa simu tu bado vifaa vingine ambavyo nchi za wenzetu wanavitumia kurahisisha kazi zao.
 
Ni kweli kabisa Mr Mshana,haya yote tunategemea yatokee lakini kwa watu maalumu watakaobaki duniani na yatatokea kwa miaka 1000 ya shetani kufunguliwa na kuwa huru duniani.
 
Kuna ndugu mmoja aliwahi kuniambia hakuna mahali unaweza kusema hapa ndio mbinguni au hapa ndio motoni.
Kwamba jehenamu au peponi ni hali wala sio mahali

Huyo alieniambia hivyo ni kiongozi mkubwa wa kanisa haya madhehebu makubwa kabisa , na ni msomi mkubwa sana wa falsafa theolojia na historia kwa ngazi Phd.
Huyo atakuwa ni askof bibi desmo tutu au mama Dr ferdi shoo,,ni viongozi wakubwa wapumbaf tu wenye uwezo mdogo wa kufikiria wanaosemaga hadithi za namna hio
 
Kama science imesaidia kutengeneza robot likawa machine inayoweza kufanya Kila kitu,,Kuna haja Gani Tena ya kumfanya binadamu Tena awe machine au hao wanasayansi wa wakati huo watakuwa na science ya kinyume kinyume?
 
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu kinawatisha washika imani basi ni kifo na ukomo wao umeishia kutumainia maisha mapya huko mbinguni baada ya kufa

Je kisayansi tunaliwekaje hili? Wenzetu wenye kuwaza zaidi walijiongeza pale imani ilipoishia na kutamani kupata suluhu ya kutokufa milele bila kufa kimwili
Ulimwengu wa dunia ijayo kutakuwa hakuna kufa tena LAKINI hii haitakuwa kwa wote bali kwa wenye uwezo wa kumiliki uhai mpya baada ya ule wa mwanzo kuchakaa, yaani uhai mpya utakuwa ni bidhaa adhimu ya kuuzwa kwa wenye uwezo

Je hii itawezekanaje? Naweza kuonekana chizi sasa hivi kwa hiki ninachokiandika lakini kuna wakati kitatamalaki sote tukiwa hatupo tena

Uhai mpya utapimiwa kwa kipimo cha muda na kila kipimo kitakuwa na ubora wake na sifa zake
Kipimo cha miaka 5 bila magonjwa wala uchakavu wa haraka nk
Kipimo cha miaka 10 bila magonjwa, bila njaa, bila kufanya update nk
Kipimo cha miaka 20 na kupata kila unachotaka, kuanzia size ya sehemu za siri mpaka aina ya libido na kwa vipindi gani..

Hiyo ni mifano michache tu ya hayo yajayo yasiyawazika kwamba uatakuja kutokea na kuwa halisi
Kama haya yaliwezekana basi hata tunayoyawaza sasa kuna siku yatatimia.. Maisha bila kifo

Walianza na kupandikiza mimba ikawezekana
Wakaja na watoto wa chupa nalo likawa
Ikafuatilia kumtoa mtu nakala(cloning) nalo limewezekana
Lijalo kubwa ni hili la kuhifadhiwa kumbukumbu zako zote mpaka sura .. Hii ni updated version ya cloning.. Na likitokea la kukutokea fasta version yako iliyohifadhiwa inapandikizwa kwenye mwili mpya maisha yanaendelea

LAKINI
Haya yote yatakuwa kwa wenye uwezo wa kifedha tuu
Hakutakuwa na upendo kati ya mtu na mtu
Familia zitaparaganyika kwakuwa mzazi hatakuwa na uwezo wa kumgharamia kila mtoto version ya maisha mapya
Kwa kifupi population duniani itapungua mno kwakuwa hata kuzaana hakutakuwa kama huku kwa sasa

Watoto watazaliwa na mashine, zaidi ya vinasaba vya kijenetiki vinavyotengeneza muunganiko wa kibailojia na wazazi ambao hata hivyo nao utafanyika maabara, hakuna mahali mzazi mmoja atabeba mimba
Kutakuwa na watoto wa wazazi wa jinsia moja ama kutakuwa na watoto wa wazazi zaidi ya mmoja kutokana na vinasaba kutoka watu tofauti
Wazazi watapanga wanataka mtoto wa aina gani kuanzia kimo, maumbile rangi akili alama maalum nknk

Nina mengi ya kuandika kwenye hili lakini moja kubwa na la kutisha sana hakutakuwa na huruma, umoja, ujamaa upendo nk, na watu watakuwa na uwezo wa kutoa oda ya aina ya watu watengenezewe kwa matumizi yao binafsi

Dunia ya tatu itaangamia/itaangamizwa kwa kiwango kikubwa lakini watabakisha wachache kwa ajili ya majiribio yao na matumizi mengineyo kwa mahitaji yao.. Utumwa ujao urakuwa mbaya kuliko ulopita

Survival of the fittest will bare the real life!
Hatutaishi kuyaona haya pengine! Na waumini na waamini pengine hawatakuwepo tena huku dini ikiwa ni kitu kisichokuwepo tena kikibaki kama hekaya za simulizi za kufikirika
Extremely deep thinking of future human race!
 
Kama science imesaidia kutengeneza robot likawa machine inayoweza kufanya Kila kitu,,Kuna haja Gani Tena ya kumfanya binadamu Tena awe machine au hao wanasayansi wa wakati huo watakuwa na science ya kinyume kinyume?
Kila hatua anayopiga binadamu kwenye chochote huwa haridhiki nayo hutaka zaidi na zaidi, akifeli atajaribu tena na tena, akifanikiwa atataka kingine zaidi
 
Inawezekana hayapo mbali, kuna maandiko yanasema baada ya kuja kwa yesu kuchukua kanisa "unyakuo", Shetani atatawala waliobaki Duniani miaka 1000, hakutakuwa na MAGONJWA WALA VIFO, hadi hio miaka itakapoisha, na unyakuo haupo mbali.

Na hizo tabia za kutokuwa na huruma, umoja n.k ni tabia za mamlaka ya Shetani, inawezekana Shetani amewaibia Siri watu wake Freemasons na Satanist (Kama wewe) ili mjiandae, Hawa malimbukeni wengine " Harry Potter anawaita maggot" yatawatokea by surprise

Wala usisumbue kuwaambia, utaishia kutukanwa
Kwel kabisa Muda huo shetani ndio atachukua hatamu
 
Watu hawasomi vitabu vya dini wapo wapo tu na mpira alafu wanakuja apa kubisha
 
Viumbe hai wakiacha kuzaana, na kifo automatically kitatoweka. Tukiacha kuzaana, Nature will intervin kuhakikisha viumbe hai wanaendelea ku- exist na hivyo kifo kitatoweka iwe ni kwa muda au vinginevyo.

Ukifikiri kwa kina, utagundua Nature inataka huu Ulimwengu usiwe na ombwe la viumbe hai na pia idadi ya viumbe hai isizidi kiwango kilichopangwa kwani kikizidi, life in this world would be impossible.

Hata tendo la ndoa kuambatana na raha/utamu ni mkakati wa Nature kuhakikisha viumbe wanazaana na hivyo kuhakikisha dunia haina ombwe la viumbe hai.

Inawezekana kabida nguvu za asili( Nature) zinafaidika na uwepo wa viumbe hai katika huu Ulimwengu bila sisi kutambua kama ambvyo sisi binadamu tunavyofaidika na kufuga mifugo bila mifugo hiyo kujua inatunufaisha.

Ipo siku nitaandika kwa kirefu hii mada ingawa inaonekana ni ya kufikirika.
Eco system
 
Bro hii conspiracy itawezekana pale tuu, binadamu ataweza kujiumba, na ili aweze kujiumba ni pale ama atakapo fanikiwa kumuona muumba, ambaye ndie Mungu ambaye ametuumba. Ndio maana hakuna binadaam aliyewai kumuona Muumba ktk asili yake, bali vitabu vya dini vinaonyesha kwamba Mungu amewatokea wanadamu ktk fomu mbalimbali na si ktk unature wake. Unajua kwanini Mungu hawezi kujitokeza ktk u natute wake, kwa sababu once binadamu atakapo muona tuu, basi ndio siku itakuwa mwanzo wa huyu binadamu kishi milele ktk huu huu mwili wa asili bila kufa.

Mbali na apo, huyu binadamu atajaribu tuu kuishi milele kwa fomu zingine artificials mbalimbali, kama hizi unazozielewa, hii ni kwasababu hizi fomu ni kwamba binadamu anaweza kujiona mwenyewe kupitia vitu kadhaa, kama mind, ubongo, damu, nk.
Means, SIKU BINADAMU AKIWEZA MUONA MUNGU... MAANA YAKE AMEWEZA KUIONA ILE PUNZI YA UHAI ILIYONDANI YAKE, AMBAYO ILE PUMZI HUWA INATOKA PALE BINADAMU ANAPOKUFA.. sasa ikiwa binadamu atafanikiwa kuiretain, kuicontrol, kuitunza iyo pumzi, hapo ndio utakuwa mwisho na mwanzo wa maisha mapya ya milele..
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom