Furaha tupatazo JF na kusahau shida

Furaha tupatazo JF na kusahau shida

[/B]
Hahaaaaa!
Umbuje Kaizer hii inaruhusiwa kweli?
I can smell varangati ambalo bila CMA kuingilia siuoni muafaka!!!

Rule #03 . "şharing is caring, kizuri kula na nduguyo."
 
Last edited by a moderator:
Kuna exceptions hommie wa umbuje.

Hizo exceptions zitamsubiri Warioba kwenye rasimu mpya ya katiba. Hivi sasa UKAWA tupa kule, serikali mbili ndo mpango mzima. Ya hommie Kaizer na serikali ya Mapinduzi ya Asprin a.k.a ODM wa ukaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Wako wengi wanipao kicheko ila zaidi sana ni huyu Asprin. Nikisoma koment zake nacheka bila mpangilio
 
Hahaaaa!
Mie namngoja umbuje aje atie neno hapa!!
 
Wako wengi wanipao kicheko ila zaidi sana ni huyu Asprin. Nikisoma koment zake nacheka bila mpangilio

Hebu kanijibie PM kule hili swali la sehemu za siri.... eti wakati unacheka bila mpangilio, kile kile kinachokufanya uitwe valentina huwa kinakuwa kinatabasamu au kinatekenya? Nasubiria majibu PM.
 
Last edited by a moderator:
Hebu kanijibie PM kule hili swali la sehemu za siri.... eti wakati unacheka bila mpangilio, kile kile kinachokufanya uitwe valentina huwa kinakuwa kinatabasamu au kinatekenya? Nasubiria majibu PM.

Mmh ngoja nije uko pm chap chap sana
 
Hebu ngoja tufanye pamyuteshen na kombineshen

Kama Vaislay ni twin wa Ennie
na kama Ennie ni umbuje wa Kaizer
na kama Kaizer ni homeboy wa Asprin aka mimi ODM.....

Kwa kutumia Archimedes Principle tunaeza kukonkludi kuwa upthrust ya kipokea mkojo cha Vaislay ni directly proportional na kimwaga mkojo cha odm mimi.

hommie Kaizer hebu konkludi hapa....

Hii hoja imekaa ki interahamwe....haikubaliki
 
Last edited by a moderator:
[/B]
Hahaaaaa!
Umbuje Kaizer hii inaruhusiwa kweli?
I can smell varangati ambalo bila CMA kuingilia siuoni muafaka!!!

Hata CMA hawawezi itakuwa mahakamani tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom