Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
umeona eeeh Kaizer.... sometimes wanasema "akili nyingi........."
na si unakumbuka ule usemi "nabii hakubaliki nyumbani" rafiki?
ndo kama hivi sasa, yeye anaona yupo karibu nami basi ananichukulia kikawaida tu.....
we ngoja utamwona akija apa na fujo zake huku anamsingizia mkoloni
snowhite mwelewe dadako FP jana amekuwa na nia njema sana na wewe
Last edited by a moderator: