snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
you are welcome to look for it
Mi naogopa kuitaja lol.
Hahaha...nimeipenda hii mtani "nkajikatalia mimi ujinga wa fenesi kuning'inia shinani!"
ahahhahahahhaha wewe huyo ndo umenfundisha maneno !sijui hata nilifikiria nini!
King'asti mbona sikuoni Kiding'a sikuhizi!!?
asante sanainapendeza.. na ninafuraha kusikia upo njema!
hivi mfungo unaanza lini? nataka nianze kutembelea nyumba za kwenda kufuturu, kujiweka karibu, lol!Nipo bwana. Mie najiandaa na mfungo kwa hiyo nshapunguza madhambi. Sema najifunika mno ndo maana haunitambui.
umeona eeeh Kaizer.... sometimes wanasema "akili nyingi........."hahaha snowhite na akili zote izo ulizopewa bado hujamuappreciate dadako @FP
Shauri yako ukikubali kuahidiwa ndizi huku unaona mgomba unakatwa!