sasa sosoliso hili ndo tunda gani?
Hivi inafanana na nini tena??ha haaa, lol!
ok, lets play it
afadhali hujayaona binamu.....binamu mi napita hata hayo maandiko sijayaona
nashukuru kukuona u mzima binamu
ha haaa, nayo cucumber ina-look like what?Baada ya banana kuchinjiwa baharini, Nikawa nasubiria kama kuna cucumber.
ha haaa, usimchokoze mwalimu....