Funny facts

Funny facts

Kumbe ilikuwa ngoma tofauti halafu unataka kumsababishia FP ka blood pressure kabla budget haijasomwa??

Next time utuwekee vizuri bwana hata kama hatujua kusoma picha tusiondoke mikono mitupu au kuwazulia wakubwa wenzetu balaa....

Babu DC!!
mmmhhh!
kwa kweli karibia ntakata rufaa, hamuwezi mkawa mnaniacha kwenye mataa kiasi hiki mkubwa mwenzeno, KULIKONIIIIII!
 
Na umeshatambikia au bado??

Kuna watu hawajahi kulijua hata hilo fungate maana yake ni nini...

Babu DC!!
unakumbuka wale waliokuwa wanaomba ushauri wapi wakavue samaki na kusoma vitabu na kuimba mapambio wakiwa fungateni?
yule kijana wa canada....
sijui aliishia wapi?
hivi alishakuja kusema mambo yaliendaje huko fungateni?
watu kama hawa kweli twaweza kusema wanajua maana ya fungate?
 
FP sahizi hamna usingizi mbona kauli ya ndizi ina umuhimu sana..
 
Last edited by a moderator:
Apple:I look like a human heart.
Mango:I look like a stomach.
Grapes:I look like eyes.
Banana:
I don't like this game..

teh teh tehhhhhhh....

cc. Arushaone, watu8, Asprin, BAK, Nyani Ngabu, Erickb52, Baba_Enock, The Boss, Dark City, Bishanga, Mtambuzi, kiwatengu, Mr Rocky, C6 Excellent, Baba V, zumbemkuu, Filipo, Bujibuji, manoah, Mungi, Young Master, sosoliso, Blaine, bombom, CPU, figganigga, HorsePower, Jiwe Linaloishi, Kapalampya, Mkusa, Ndibalema, Nicas Mtei, Mwakalinga Y. R, puravida, saudari, WABUSH, The Finest, Vin Diesel Kaizer..........
:car:
Mkwe, kikombe alichonipa baba nisikinywe?? Khaaaa!!
 
hahahhaa Juma Mhuni a.k.a Kikoja, Mohamedi Mtoi unakumbuka tulikula hizi ndizi kule nyuma porini wakati tunakata majani tulipokua Shambalai Secondary? Ila ulikua unapeleka Mpwa

Osie hata mimi nsomie shambalai umenikumbushambali mno headmaster alikuwa Mrema
 
hili tunda linaitwaje mtani?

tumblr_lonxqdhpij1qd3056o1_500.jpg

majangaaaa!
 
Back
Top Bottom