Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #81
jamani Kaizer, hii ni funny facts......
teh teh tehhhhhhhhhhhhhhhhh,
samahani tu imewagusa, lol!
jamani Kaizer, hii ni funny facts......
I would suggest to pick an applewhich fruit should I pick?
yani laiti mngejua leo mmeniharibia vip mingle yangu ehehhehhe !
yani laiti mngejua leo mmeniharibia vip mingle yangu ehehhehhe !
BTW dada mkubwa ana akili sana!hajaniita kwenye huu uzi!ningeshawapa mods kazi mimi!
simaanishi ile kesi yang nimeifuta!
nipo t hapa naangalia picha anazoweka mtani wangu watu8 hasa ile ya matunda mawili yalipojibishana live!
Yale matunda yanafanya UCHAVUSHAJI PEKE....
ungenikaribisha kabla hamjarabu mipango yang!ehehehhehehe khali ingekuwa dhofkhali hapa!:A S-fire1:Well said, ndo maana kule amekwambia hajawahi kushindwa....vitu vidogo sana kwake...ndio maana unamwita 'dada mkubwa" sio hivi hivi lol...welcome aboard snowhite.
(halafu hiyo habari ya Ulaya sijui nini........)
ungenikaribisha kabla hamjarabu mipango yang!ehehehhehehe khali ingekuwa dhofkhali hapa!:A S-fire1:
Kisa "mchavusho peke" wa hapa au....kukukaribisha baada ndio ilikuwa tactical zaidi la sivyo mambo yangeharibika mapema
ha haaa, afadhali mdogo wangu hujaelewa, maana ni majanga
believe me mdogo wangu, upo fine bila kuelewa.....
by the way, Invisible naye hajaelewa? lol! naona alivyokukandamizia like hapo pa kuomba kufafanuliwa
mna akili sana!
hili goma ningekuwepo mwenyewe mzee wa mineno kuntu maumivu kumoyo!wala isingefika page ya 5