Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #141
hapo nakubali kabisa nipo nyuma ya wakati, sasa kama hamnipi update mnafikiri ntazipataje? wote mna kesi za kujibu
hapo nakubali kabisa nipo nyuma ya wakati, sasa kama hamnipi update mnafikiri ntazipataje? wote mna kesi za kujibu
ha haaaa, nina baibui langu nililetewa na shostito toka Zenji......Mwezi ukiandama tu ntakustua. Umeshanunua mavazi ya futuru, manake na visarawili vyako hivyo utaondoa swaumu zetu?
Afu nimemmiss Ritz, hapiti huku siku hizi (natengeneza mazingira ya mialiko hapa hehehe)
nipo, nimeokoka siku hizi, nimefungua kanisa mitaa ya Mwenge.ha haaa, best ulipotelea wapi?
vibaya hivyo
kiongozi huyo binti ana mume?
ha haaa, bora umeokoka na kufungua kanisa....nipo, nimeokoka siku hizi, nimefungua kanisa mitaa ya Mwenge.
yeah!ha haaa, bora umeokoka na kufungua kanisa....
mtama bomba sana huo wa kanisa.....
utakuwa unajikamatia tu wanakondoo kwa nafasi yako...
kila la heri
ha haaa, kuna ambaye mwanaye hafaulu vizuri shule......yeah!
kwakweli najitahidi kutoa huduma, kama una mwenzio hapati ujauzito mwambie aje ntamfanyia maombi.
Mimi tena mzee mwenzangu?
Hapa sijaisoma picha kabisa....
Una maana kuna mtu anawindwa?
Naamini babu hayumo kwenye hiyo sampling frame!
Babu DC!!
lazima afaulu hesabu, waambie wamlete haraka.ha haaa, kuna ambaye mwanaye hafaulu vizuri shule......
ntamwambia ywyw na mumewe wamlete mtoto kwa maombi
ha haaa, haya ntawaambialazima afaulu hesabu, waambie wamlete haraka.
ok ok.......huo huo...she tries to defy your orders bana.....
ha haaa, nikingalia angalia kumbukumbu zangu sijawahi kabisa kuwinda...
sidhani kama naweza nikaanza umri huu
it was just a joke babu
hahaha we bora hata jana hukuwepo manake ilikuwa balaaa