Fundi dish na wauzaji ving'amuzi

Decoder ya Canal inalipiwa kupitia kwa wakala. Nakulipia na channel zinafunguka chini ya dakika tano bila usumbufu wala utapeli
Wakala wanapatikana wapi mfano kwa dar make fundi aliyenifungia ndo alikuwa ananisaidia kulipiaa sasa simpati wiki ya tatu
 
Nipigie mkuu nikusaidie 0764453848 au 0686811173
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Freq:3759
S/R: 7610
Pol: H
Mkuu nina kisimbuzi cha Dstv, kwasasa napata channel ya TBC tu.. Kuna fundi huku kijijini kwetu ameniambia anaweza kufanya maujanja ili nipate chanel za bure za ndani na nje Bila kulipa kila mwezi, vipi kiufundi hilo linawezekana?
 
Inawezekana ila pia inategemeana n kisimbuzi gan cha dstv. Kuna vngne(vya zaman) havisapot
 
-Tunauza Ving'amuzi aina zote Canal,Azam, DSTv, Zuku, Continental, Digitek, Star Times kwa bei nafuu.

-Tunafunga na kurekebisha madish

-Tunafunga Free To Air (FTA - local) channels za Tanzania ambazo hulipii kwa mwezi.

-Tunafunga channels za movie, documentary, mieleka, fashion, wanyama, muziki, watoto (cartoon) ambazo hulipii (free)

-Tunafunga mfumo wa Cable Tv kwenye hotel, guest house ,apartment au nyumbani

-Tunafunga TV ukutani kwa kutumia wall brackets

Huduma hizi ni kwa Dar na mikoa ya karibu

-0764 453848
 
Shukran sana kwa huduma yenu

Keep it up japo mda mwingne nakusumbua ushalala chief
 
Hiv Ukiwa na dstv unapata channel za azam na za statimies?? N swali tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom