Hapana kwa Lutu ulikuwa ni unabii si vema kuchanganya nyakati... Nyakati hizo walikuwa mabinti wawili tu na baba yao... Na bila kufanya kujiongeza na kufanya vile... Kizazi kingepotea.. Hivyo hawakufanyia starehe wala tamaa...Kinachonitatiza hapa ni ubakaji wa hawa mabinti kwa baba yao na wewe unasema huku ukishangilia kuwa si vibaya. Unajuwa waislam wakikusikia na wao watataka kubaka kisha wakusingizie wewe na watoto wa Lutu, shauri yako mi simo.
Ezra 9Hii nayo ni tafsiri pia
Hizi kabila mbili zilizopatikana kutoka kwa hawa mabinti wawili wa Lutu, baadaye walikuja kuwa pingamizi wakati waisrael wanaenda kanani ,Na Mungu aliwaagiza waisrael wawaue wote na wasibakize hata mtu mmoja.Naomba ufafanuzi hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]m, mkono wa wakuu na mashehe umetangulia katika kosa hili.
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]lakini naamini walifanya hivyo si kwa utashi wao... Bali kuna nguvu iliwasukuma ili utabiri utimie... Na naona ni kama vile kizazi chao hicho kimekuwa reincarnated nyakati hiziHizi kabila mbili zilizopatikana kutoka kwa hawa mabinti wawili wa Lutu, baadaye walikuja kuwa pingamizi wakati waisrael wanaenda kanani ,Na Mungu aliwaagiza waisrael wawaue wote na wasibakize hata mtu mmoja.
Pia utaona ile tabia ya wazee kuchukua mabinti zao iliendelea hata baada ya miaka kadhaa. Hivyo usifanye kitu kwa tafsiri yako mwenyewe, maana waliamua kuzaa na baba yao ili kuendeleza kizazi. Je yailkuwa mapenzi ya Mungu
Hii nayo ni tafsiri pia
kwa iyo mume na mabinti hawakugeuka kumuangalia mwenzao! inawezekana kweli!Huo ni mchoro na siyo tukio halisi....
Lakini hata tukiamua kuchukulia ni sahihi huo mchoro,huo mchoro umechorwa wakati wakiwa wameshamuacha nyuma na yeye amebadilika na kuwa jiwe la chumvi...
Tatizo ni lipi hapo?
Hahaha!! Sasa mbona hapo lot kazaa na watoto wake bila kupewa adhabu...Ni dhambi
Kwanini hawakufuata watu wengine waliokuwepo?Hapana kwa Lutu ulikuwa ni unabii si vema kuchanganya nyakati... Nyakati hizo walikuwa mabinti wawili tu na baba yao... Na bila kufanya kujiongeza na kufanya vile... Kizazi kingepotea.. Hivyo hawakufanyia starehe wala tamaa...
Nyakati hizi huwezi kufanya hivyo wanaume na wanawake wako wa kumwaga... Mtu akifanya huo ni ushetani na ni tamaa... Anastahili adhabu kali sana
Duuuuh!!! Kwahiyo hapakuwa na njia nyingine ya kuepuka hiyo dhambi ukizingatia mungu wa biblia ni muweza yote?..Alikuwa hana option... Na in fact ni mabinti ndio walitengeneza mchongo