pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,244
watu wanaishi lkn hakustawi kitu pale kwani hadi kila kitu ni cheusi hadi leo.sidhani kama huo mji kuna watu wanaishi mpaka leo
watu wanaishi lkn hakustawi kitu pale kwani hadi kila kitu ni cheusi hadi leo.sidhani kama huo mji kuna watu wanaishi mpaka leo
Israel kama unaenda dead sea ndugu.
Ni Nzuri SanaDuuh! Pamoja na kwamba pombe inapigwa vita sana na madhehebu mengine lakini wakati mwingine huwa ni nzuri.
Bado kuna fumbo hapa kwakuwa tafsiri juu ya hili si moja na isiyoweza kukidhi kiu ya tukio zimaMkewe Lutu alikuwa mshirika wa anasa za miji hiyo lakini kwa neema ya Mungu kwa Lutu akaokoka . Lakini dhana ya kugeuka nyuma ina maana kuyakumbuka yale aliyokuwa akiyafanya . Mungu aliona atumie sharti hilo kumnasa mkewe Lutu kuliko kumtenganisha na Mume wake on the spot . Yesu pia alitumia hiyo kanuni, kila alipomponya mgonjwa alimwambia usitende dhambi tena sasa Tenda dhambi tena kitakachotokea ndicho kilimchomkuta mkewe Lutu .
Kutii ni bora kuliko dhabihu na kusikia kuliko mafuta ya beberu (Nabii Samweli akimueleza mfalme Sauli).Ahsante kwa ukweli huu. UTII ni jambo muhimu sana, lilikuwa ni somo la jumapili ya leo kanisani kwetu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwanza kabisa kinachohitajika ni utii (nidham), yeyote anayefanya/anayeenenda tofauti na maagizo ya Mungu lazima apate ujira wa alichokifanya. Na hali hiyo haijampata mke wa Lutu peke'ake! Kuna; Adam na Eva, Mfalme Sauli, Yona, n.k.
Mshana Jr AHSANTE SANA HUU UZI WA KUFIKIRISHA.