Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Lutu
anaokolewa kutoka hiyo miji yeye na familia yake
Japo mke aligeuka nyuma!
Je pamoja na kuwa na haki hadi anaokolewa yeye tu ktk hiyo miji.
Je ilikuwa ni desturi ya Lutu kupiga vyombo (kilevi)?
Au hao mabinti walimkamata baba yao then wakamnywesha kwa lazima?

Nafasi ya kilevi ni ipi?
Hivi kumbe mtu ukilewa unaweza kufanyishwa kitu na usijue?

Mbona huwa tunasikia wakisema kuwa ule mshindo mmoja tu ni sawa na kukimbia mbio kilomita nyingi?

Lutu hata Asubuhi ile ya kwanza pamoja na kulewa na kufanyishwa hicho kitendo alishindwa kabisa kulitambua hilo tukio
Mbona
Noah (Nuhu)
Yeye alikunywa akalewa na yule kijana wake HAMU
alimuona baba akiwa uchi na akamcheka
Mbona Nuhu aligundua hilo tukio na akatoa laana kwa huyo kijana?
akawabariki walioficha utupu wake wale vijana wengine wawili Shemu na Japhet.

Maswali ni Mengi sana ktk hichi kisa!
Mungu tu atusaidie ktk hili ili kusudio lake la hili fundisho kwetu alilokusudia basi tulielewe kwa Imani.
 
Soma vizuri mkuu haya mafungu..
Hizi kabila mbili zilizopatikana kutoka kwa hawa mabinti wawili wa Lutu, baadaye walikuja kuwa pingamizi wakati waisrael wanaenda kanani ,Na Mungu aliwaagiza waisrael wawaue wote na wasibakize hata mtu mmoja.
Pia utaona ile tabia ya wazee kuchukua mabinti zao iliendelea hata baada ya miaka kadhaa. Hivyo usifanye kitu kwa tafsiri yako mwenyewe, maana waliamua kuzaa na baba yao ili kuendeleza kizazi. Je yailkuwa mapenzi ya Mungu
 
Frank Gotora, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa walikuwa mabaharia hasa... Licha ya kua wazee wa jicho lakini kiuhalisia bikra michosho tu... Wangezifungua bikra kwa mbinde kishapo waanze kubembeleza waliobirikiwa vilio vya maumivu... Hawakutaka hii shida walitaka kupata mafundi waliokubuhu... Wakipewa huku wanapewa kule[emoji87][emoji87][emoji87][emoji3]mpaka hamu iwaishe... Yani ni mwendo wa kubadilisha matobo... NADHANI ina raha na ladha yake (personal view)
 
Frank Gotora, Sasa iwapo waliangamizwa kwa moto mbona hizi tabia tena zimeshika kasi sana kipindi hichi?
Ndiyo maana
Tezi dume hazitaisha!
Na
Katika kisa hichi kuna mafundisho mengi sana

Mshana Jr tuone kisa cha yule kipofu ktk kitabu cha Yohana 9
Ikipendeza lakini! [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
FRANK kuna hii kitu inaitwa reincarnation nadhani ipo kweli na inafanya kazi... La sivyo tusingekuwa na mende wengi kiasi hiki... Kuna video nitaiweka hapa... I download kisha nitaifuta maana si mahala pake... Ni hili ongezeko la wanaume wa kike na wanawake wa kiume...

Kuhusu kitabu cha Yohana 9 NADHANI tuna cha kuandika ngoja tumalize hii

Download fasta nifute
 

Attachments

  • 2191443_VID-20191019-WA0006.mp4
    6 MB
Kwasababu nijuavyo mm ni kwamba Ibrahim alianza kabla ya Yesu hivyo ukinitajia mahala kwenye biblia imemtaja Yesu katika kizazi cha Ibrahim nadhani ntakuwa nimeelewa zaidi@Frank Gotora,
 
Mke wa lutu alikuwa miongoni wa dada wa mjini kama akina jike shupa wakati ule kazi yake kubwa ilikuwa kuuza madanga(wakike na wakiume zaidi so wakati wa angamizo ,hakuamini kilichokuwa kinatokea kwa biashara yake ya mda mrefu thus alivyogeuka Ndo ikawa Hivo##Rejea mandiko.
 
Hua sielewi kwanini biblia itumie mafumbo Kama kweli Mungu ana nia njema na sisi. Kwamba twende mbinguni kwa mbinde sio?

Biblia inasema wazi bila mafumbo kwamba Sodoma na gomora watu waliingiliana kinyume na maumbile, Ila ikifika kwa MKE wa Lutu biblia itumie mafumbo, kwa sababu zipi?

Lakini pia Sodoma na Gomora ilikua inateketea kwa Moto wakati Lutu na familia take wakiwa njiani wanaondoka. Kwamba pamoja na stress zote hizo MKE wa Lutu bado akawa na hamu ya kuruka ukuta njiani? Je, aliruka na Nani Kama wao pekee (familia ya Lutu) ndio waliotoka salama kwenye mji wa Sodoma na Gomora?

Kila nikisoma biblia, nabaki na maswali mengi kuliko majibu!
 
Hua sielewi kwanini biblia itumie mafumbo Kama kweli Mungu ana nia njema na sisi. Kwamba twende mbinguni kwa mbinde sio? [emoji116][emoji116][emoji116][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]kana-,
 
Back
Top Bottom