Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Picha na michoro vinamuonyesha Lutu katangulia mbele na mabinti zake huku kawashika mikono huku mkewe akiwa nyuma...something uncommon hapa
Mimi nafikiri siyo hivyo,,

Kwakuwa kama mke wa Lutu alifanya kinyume na maumbile ndio akageuka jiwe, ina maana hilo tendo Haku fanya na mumewe ambae ni Lutu? Maana tunaona Lutu ameendelea na safari.
 
Mungu siku zote ni mkuu na hajaribiwi. Inawezekana mke wa luthu alitaka kuhakikisha ni kweli nikigeuka ni nini kitatokea au vilio vilivyotawala vya majonzi na simanzi watu waliokuwa wanaangamia vilimtia huruma. Au kiherehere chake tu. Mawazo yangu
Wanawake tangu mwanzo ni wabishi sana yani
 
Hapana hata wewe umetafsiri kinyume hakuna niliposema Lutu alitenda kinyume na mkewe
Mimi nafikiri siyo hivyo,,

Kwakuwa kama mke wa Lutu alifanya kinyume na maumbile ndio akageuka jiwe, ina maana hilo tendo Haku fanya na mumewe ambae ni Lutu? Maana tunaona Lutu ameendelea na safari.
 
Ni Uzi wa siku nyingi. Ninachoona ni kuwa Mungu aliichagua kuiokoa familia ya Lutu Kwa kuwa walimcha Mungu.

Mungu akasema 'atakayegeuka nyuma, atakuwa nguzo ya chumvi' Mungu hakumaanisha kugeuka Kwa nyuma geuka. Alimaanisha atakayezirudia dhambi.

Kwa hiyo hata kuponywa Kwa familia ya lutu haikumaanisha utakatifu, ila kutokugeuka nyuma, yaani kurudia kufanya dhambi.

Mke wa lutu hakuweza kuishinda dhambi, aliendelea kujirusha au pia zaidi ya hivyo.

Kwa dhambi hiyo hiyo binti za Lutu wakaamua kuzaa na baba. Sijui Mungu alitaka kutuonyesha nini, kwamba wanawake tumeshindikana! Tokea Eva! Hata mama wa Yakobo aliyefanya mapinduzi ya baraka za wanae. Kweli wanawake!
 
Mamndenyi, Kwa dhambi hiyo hiyo binti za Lutu wakaamua kuzaa na baba. Sijui Mungu alitaka kutuonyesha nini, kwamba wanawake tumeshindikana! Tokea Eva! Hata mama wa Yakobo aliyefanya mapinduzi ya baraka za wanae. Kweli wanawake!
 
giphy.gif
 
Mungu akasema 'atakayegeuka nyuma, atakuwa nguzo ya chumvi' Mungu hakumaanisha kugeuka Kwa nyuma geuka. Alimaanisha atakayezirudia dhambi.
 
Ukitafakari sana lutu na mkewe walikuwa wamewekeza ktk mji huo sasa itokee mali zako zote iteketezwe kwa mara moja lazima kibinadamu ungeangalia nyuma kuililia. Pia ukiangalia tabia ya Mungu anapofanya maangamizi kabla ya hapo hutoa onyo hadi onyo, Eden alitoa onyo, wakati wa gharika alitoa onyo. Sodoma alitoa onyo, kule misri alitoa onyo kabla, kwa wamedi na waajemi alitoa onyo, pale Jerusalem alitoa onyo, mji ukateketea kwa upanga mwaka wa 70 bk. Nk. Katika onyo zote yeyote aliyetii onyo la Mungu aliokolewa bila kujali anadhambi kiasi gani, mke wa lutu alikiuka onyo la malaika la kutoangalia nyuma. Mdhambi anaweza kuvumiliwa lakini kutokutii agizo la Mungu mhusika atajibebea gharama zake mwenyewe.
Ahsante kwa ukweli huu. UTII ni jambo muhimu sana, lilikuwa ni somo la jumapili ya leo kanisani kwetu.
 
Back
Top Bottom