Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

Mbona hpavumi kiivo
downloadfile-1.jpg
pako kiimani zaidi kuliko kihistoria
 
Kama kawaida ya wazungu LAZIMA watawachora watu wa biblia as wazungu wakati wayahudi si wazungu na hawafanani na wazungu.
Tusijitie hofu sana kwenye haya ya rangi sometimes tunaogopa hata visivyopo
 
Lutu hakuwa mtakatifu naye alikuwa mwovu msamaha alipata kupitia Ibrahim anauliza malaika mkiwakuta wema 60 mtateketeza: hapana akashuka hata mmoja wakajibu hapana akawaambia basi yupo ndugu yangu huko anaitwa Lutu wakajibu tutamuondoa si kwakuwa alikuwa mwema hapana bali kwa neema ya mjomba wake Ibrahim lakini mke wa Lutu alizikumbuka anasa za huko (ndipo tunasema aligeuka jiwe la chunvi) hakutii agizo la mungu
 
kwani ili ni agizo la milele
Agizo si la milele ukumbuke vizazi vyote hivi vilipita na haviishi tena wala hatusomi baada ya hapo isipokuwa kizazi hiki kimewekwa akiba kwa uhai/moto wa milele vitangulizi viliteketea vikaishia kabisa
 
Lutu hakuwa mtakatifu naye alikuwa mwovu msamaha alipata kupitia Ibrahim anauliza malaika mkiwakuta wema 60 mtateketeza: hapana akashuka hata mmoja wakajibu hapana akawaambia basi yupo ndugu yangu huko anaitwa Lutu wakajibu tutamuondoa si kwakuwa alikuwa mwema hapana bali kwa neema ya mjomba wake Ibrahim lakini mke wa Lutu alizikumbuka anasa za huko (ndipo tunasema aligeuka jiwe la chunvi) hakutii agizo la mungu
Mkuu hii sentence ya mwisho neno Mungu linaanza kwa a capital letter
 
Halafu nasikia mji huwa ulikuwa na wanefili wengi watemi
 
Hivi haya mambo ya Rangi yana mantiki gani ?
Ni juhudi za mzungu kutaka kuuaminisha ulimwengu kuwa mtu mweusi ni kiumbe dhalili ama kiumbe cha gizani... Jiulize juhudi zote hizi ni za nini? Blacks are feared.. And as a black spicie am proud
 
Ilimradi tumeshajijua basi inatosha wakuu.

lakini mambo mara Musa alikua mweusi mara Haroun alikua mweupe.... mm naona tujikite kwenye imani zaidi hizi rangi tuziweke pembeni
 
Halafu shijara za rangi ni za huu mwili uharibikao tu. Roho hazina rangi
 
Back
Top Bottom