Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,198
Ikiwezekana Uzi huu utaka na muendelezo hapa hapa, jipatie kiti if you're interested
Ukisoma katika biblia kuanzia mwanzo kuna habari muhimu sana kila mtu anafaa kuzijua kuhusu tabia ya Mungu,
Nakushauri nawe pia ukipata nafasi Tafuta Muda usome kitabu cha Mwanzo katika biblia kimeeleza tangu uumbaji, hadi kuja kulipata taifa la mtoto wa Ibrahimu aliyeitwa kwa jina la Israeli
Mungu alikua na ukaribu na familia ya Nuhu ambaye alijenga safina, kisha Ibrahimu, kisha Isaka, kisha Yakobo(Israel) mtoto wa Isaka.
Israel ndiye alikua rafiki wa Mungu na Mungu aliendeleza urafiki wake na Yakobo akijinadi kuwa yeye ni Mungu wa baba zake walio pita.
Tabia hii ya Mungu inatufundisha Kuwa Mungu anaweza kubariki familia au ukoo au Taifa kwa ujumla kwa kupitia mtu mmoja Tu
Yakobo alikua na watoto 12, na wake 2
mkewe Raheli aliyekua mzuri wa sura kuzidi mke mwenza alikufa kipindi akijifungua mtoto wake wa pili ndipo Israeli akabaki na mkewe Leah na masuria.
Dina kutolewa bikra kabla ya Mahari.
Tukio hili linapatikana katika Mwanzo 34 katika Biblia.
Dina, binti wa Yakobo, alitendwa kwa nguvu na Shekemu, mwana wa Hamori, mtawala wa eneo hilo. Baadaye Shekemu alitaka kumuoa Dina, na baba yake akaja kuzungumza na Yakobo kuhusu ndoa hiyo.
Ndugu zake Dina, hasa Simeoni na Lawi, walikasirika sana. Kwa hila waliwaambia watu wa Shekemu kwamba wangekubali ndoa ikiwa wanaume wote wa mji wangetahiriwa. Walipokuwa bado katika maumivu baada ya kutahiriwa, Simeoni na Lawi waliingia mjini na kuwaua wanaume wote, kisha ndugu zao wengine wakachukua mali na kuwateka wanawake na watoto.
Kwa kifupi: Simeoni na Lawi walifanya mauaji hayo wakiamini kwamba walikuwa wanalipiza kisasi kwa unyanyasaji aliotendewa Dina, lakini kitendo chao kilikuwa cha kulipiza kisasi kwa ukatili na kwa kutumia hila. Yakobo baadaye alikosoa kitendo chao kwa sababu kiliweka familia yake katika hatari.
Jambo la kutafari kwann Mungu hakuchukizwa na kitendo hichi cha watoto wa Yakobo ?
Israel wanayo sheria kua Usie lakini Taifa la Israel ni wauaji na mamafia wakubwa, kumwaga damu na kuteka nyara ndio ilikua tabia yao pendwa.
Mungu anapenda kutuona Tukifanya nini ?