LAMBOFGOD
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 1,561
- 1,320
ikumbukwe kuwa hii familia ilipata favor kwa ajili ya mzee ibrahim, ila wao pia walikuwa walewale kwa sababu mji mzima ulikuwa umechafukwa na roho, principle ya Mungu mara zote ni kuwa hawezi kuangamiza mahala kama kuna agano alilifanya na mtu, neno lake lasemaje kuhusu jambo husika coz kwa asili yake hawezi kujicontradic na uwepo wa mtu yeyote amchaye regadless ya idadi hata kama ni mmoja kwake sawa tu. Ndo maana katika ezekiel anawambia tafuteni mtu yeyote katika mji wa yerusalem atakayejenga boma mahala palipoharibika, imagine jiji zima la yerusalem anafutwa mtu mmoja tu kuleta uzima katika jiji hili lakini cha ajabu pale yerusalem hakupatikana hata mmoja
sasa basi huyu mama, ama mke wa lutu kutokana na favor hiyo ilipowaangukia wakanza kuondoka wazo likamwijia "je zile raha za uku vp?, uko tayari kuziacha?" ohhoo kama mwanadam ikabidi kwanza angalie kule sodoma kudhihirisha kuwa yale mambo bado Alikuwa anayapenda. lakini ukweli ni kwamba ile alipoanza kujiulizauliza kichwani mwake jibu lililotoka ilikuwa kutokuondoka kule sodoma na gomora ili aendelee kuponda raha. and this is the most dangerous weapon Satan uses to drop an idea into your mind and immediately you start battle-ling within yourself na hiki ndicho kinachoitwa vita vya kiroho.
kugeuka nyuma ilisimama kuwa yule mama aliyapenda zaidi maisha ya sodoma na gomora.