Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,378
Check out "Year One" on Netflix
www.netflix.com/title/70112729?source=android
www.netflix.com/title/70112729?source=android
Waliteketea na moto kule walikotoka kumbuka hawa walikuwa mlimani
Hapana kwa Lutu ulikuwa ni unabii si vema kuchanganya nyakati... Nyakati hizo walikuwa mabinti wawili tu na baba yao... Na bila kufanya kujiongeza na kufanya vile... Kizazi kingepotea.. Hivyo hawakufanyia starehe wala tamaa...
Nyakati hizi huwezi kufanya hivyo wanaume na wanawake wako wa kumwaga... Mtu akifanya huo ni ushetani na ni tamaa... Anastahili adhabu kali sana
Ila yaani
vijana kwa wazee wote walikuwa ni mabasha?
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana Frank Gotora kwa uchambuzi mzuri
Kwani mungu hakujua kwamba kizazi kinaweza kupotea kwanini asingeleta mwanaume badala yake akaacha mpaka mabinti wambake baba yao tena baada ya kumpa mvinyo.?
Mbona hataree [emoji134]....atapona mtu kweli[emoji848]Sio kwamba aligeuka nyuma kwa kugeuza shingo yake LA hasha Bali zile fikra za mawazo kichwani du tumeuacha uzuri wa miji hii ilokuwa na starehe za kila aina ndo kugeuka huko ili unielewe takupa mfano mwingine thabiti Musa vua viatu hapa ni mahali patakatifu yaani aache zile hasira zake kwanza apande mlima Sinai azungumze na Mungu maana huwezi zungumza na mtu anahasira huwezi sikia hata moja utakaloongea mfano mwingine wa mwisho katika Amri usizini unapomtamani mwanamke barabarani ukaoneshahali ya kumpenda kimapenzi umeshazini Tatar na dhambi umeshatenda hata ukimfuatilia baadae akaja akakukubalia ushashawishika ukaenda kuzini unaenda kutimiza wajibu ila Tatar ulishazini nae siku njema wapendwa
Kwani mungu hakujua kwamba kizazi kinaweza kupotea kwanini asingeleta mwanaume badala yake akaacha mpaka mabinti wambake baba yao tena baada ya kumpa mvinyo.?
Asante kwa kunisahihi mkuu,ni typing errors tu,na Je kama mabinti wasingejiongeza nini kingetokea,na kama ni kusudio la Mungu kufanya hivyo haoni kwamba aliwatia mabinti kwenye majaribu?Ni Mungu sio mungu.. Hayo yalikuwa ni matendo ya wale maabinti hakuna popote inapooneshwa Mungu alitaka kizazi kisipotee
Asante kwa kunisahihi mkuu,ni typing errors tu,na Je kama mabinti wasingejiongeza nini kingetokea,na kama ni kusudio la Mungu kufanya hivyo haoni kwamba aliwatia mabinti kwenye majaribu?