imebaki kuwa mji wa kihistoria tu
Kwani ukoo wa Adamu ni damu ya nani mwingine zaidi yake?ina mana ukoo wa lutu ni damu yake mwenyewe?!
yap nikipata nauli nitakuchukua twende tukajionee kwa machoMabaki bado yapo ila hakuna uhai tenaView attachment 522619
Ni Syria ya leo.mshana huu mji haujabaki kuwa gofu mpaka leo kweli
kwani ili ni agizo la milelePanafaa kufanya ziara ila tukishamaliza wakati wa kuondoka tusigeuke nyuma
Mungu hakutaka waone namna mji unavyoungua na kwa kufanya hivyo hizo kumbukumbu zingewasumbua sana na wakashauriwa waasiangalie na atakayeangalia tu itabidi asiwepo....Kinachonitatiza kwanini Mungu alisema atakayegeuka nyuma atageuka kuwa jiwe la chumvi?
na je baada ya tukio kutokea lutu alirudi tena kwenye huo mji kuangalia hayo maafaMungu hakutaka waone namna mji unavyoungua na kwa kufanya hivyo hizo kumbukumbu zingewasumbua sana na wakashauriwa waasiangalie na atakayeangalia tu itabidi asiwepo....
Na ndivyo ilivyokuwa....
Haijaelezwa hivyo lakini nadhani hakurudi kabisa kule.....na je baada ya tukio kutokea lutu alirudi tena kwenye huo mji kuangalia hayo maafa
Nadhani ni zaidi ya hilo kwakuwa kwa kiingereza imeandikwa ....he turned around and looked back....yani aligeuka kabisaMungu hakutaka waone namna mji unavyoungua na kwa kufanya hivyo hizo kumbukumbu zingewasumbua sana na wakashauriwa waasiangalie na atakayeangalia tu itabidi asiwepo....
Na ndivyo ilivyokuwa....
Na mimi namaanisha hivyo pia,aligeuka kutazama kile kilichokuwa kinaendelea nyuma yake maana alisikia makelele na vilio wakati wakikimbia kutoka nje ya jiji lile.....Nadhani ni zaidi ya hilo kwakuwa kwa kiingereza imeandikwa ....he turned around and looked back....yani aligeuka kabisa
Picha na michoro vinamuonyesha Lutu katangulia mbele na mabinti zake huku kawashika mikono huku mkewe akiwa nyuma...something uncommon hapaNa mimi namaanisha hivyo pia,aligeuka kutazama kile kilichokuwa kinaendelea nyuma yake maana alisikia makelele na vilio wakati wakikimbia kutoka nje ya jiji lile.....
"Curiosity"
Huo ni mchoro na siyo tukio halisi....Picha na michoro vinamuonyesha Lutu katangulia mbele na mabinti zake huku kawashika mikono huku mkewe akiwa nyuma...something uncommon hapa