FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Mechi Kali sana hii....yenye ushindani halisi hapa Tanzania

Mimi kama mchambuzi nimeshindwa kutabiri mshindi ni nani coz itakuwa ni mechi ngumu sana na ya visasi

Lkn tuwaombee wananchi
Acha uongo bwana mdogo

Yanga A vs Yanga B
 
YANGAAAAA

FURAHA IENDELEEEE
20231023_112310.jpg
 
Kuna mbumbumbu wanaumia eti!! 😁

All in all, nawatakia Wananchi 💚💛 ushindi mnono.
 
Back
Top Bottom