Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,577
- 46,553
Namuonea huruma Ngungus Boy muda si mrefu wataanza kumtukana na kumtishia maisha.
Inaumiza sana kuuliwa kuwa kiko wapi sasa baada ya kukosa kile ulichotegemea!!Mkiambiwa mfanye mazoezi hamtaki mna kazana na uraia wa Damaro haya kiko wapi?
Simba hakuna timu pale. Msimu huu akibahatika sana ataishia wa tano.Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu.
Kikosi cha TRA United SC
Kikosi cha Mnyama
Mechi imemalizika bila mbabe huku Mnyama akiendelea kujiweka mbali na mbio za Ubingwa msimu huu.
Mchawi pale simba ni Mangungu na magoriSimba ilikuwa inafanya vizuri mpaka pale mo alipoibuka na kuqnza kujitokeza kumsainisha mkataba Mpanzu, kutangaza anataka kujenga uwanja mara tukasikia Loemba hachezeshwi sababu ni mchezaji wa Jrutty na tunaojua siasa za Simba inawezekana ni kweli.
Hili tatizo liliwahi kutokea nyuma kabla ya mo kuingia kwenye timu , Simba ilikuwa inafanya vizuri ghafla mo akaibuka kuzungumzia anachelewesha mchakato wa kupewa Simba baadae Simba ikawa inafanya vibaya marehemu Hanspope alitoka hadharani na kimshutumu inawezekana anahusika kuhujumu kwani timu ilikuwa inafanya vizuri mpaka alipoibuka na hoja zake.
Tunaweza kumshutumu yanga kuhonga waamuzi kumbe kirusi kipo ndani yetu.
Nini zanjibara nendeni burundi kabisaTunahama ligi tunaenda Zanzibar, huku tunaonewa tupewe penati zetu
Baada ya kipindi cha kwanza, nilisema kanisa na imekuwa kama nilivosemaTawireeeeeeeee