sheikh amri abeid

Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium is a multi-purpose stadium in Arusha, Tanzania. It is currently used mostly for football matches and serves as the home venue for Arusha FC. The stadium was the host of the 2011 Kilimanjaro Bowl, the first American football game played on the continent of Africa. It holds 20,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

    Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo. NB: Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
  2. Greatest Of All Time

    Coastal Union 0-2 Yanga | Ligi Kuu Bara | Sheikh Amri Abeid

    Ni weekend tena. NBC Premier League inaendelea ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union watashuka dimbani kuwaalika Mabingwa watetezi wa taji, Yanga katika dimba la Sheikh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana katika dimba hilo mwezi wa saba mwaka huu katika mchezo wa...
  3. ESCORT 1

    Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  4. Idd Ninga

    Kilichomkuta Mwarabu aliyempiga kibao Sheikh Amri Abeid

    Shekhe Amri Abeid ni mmoja ya washairi maarufu Tanzania na Meya wa kwanza Mwafrika ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa wamesoma wote shule moja ya Tabora. Siku moja Moja Shekhe Amri Abeid akiwa na Shekhe Mubaarak walikuwa wakipita katika...
Back
Top Bottom