FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

Hata kama simba itamsajili Gud foward..... bado uhuru utaendelea... timu haina mbinu za ushambuliaji...
Angalia dk 1 hadi 90 ... shambulizi gani la kutengeneza ili umlaaumu SELEMANI MWALIMU zaidi ya sideway passes....na distant shooting...

Kuna wakati mwanzo KIBABAGE akitumika kujenga mashambulizi lakini all matches bado haja- proove finishing...
Libasse Gueyye .mzee wa kukokota... ni jambo zuri lakini itasaidia endapo team inajaa haraka na ku.ji position.....

MAEMA, GUEYE, AURA, KANTE, LOEMBA, MPANZU ni brilliants players ila wanakosa chemistry ya kimfumo wa kusogelea goal ...
Wanasukuma tu mpira at end wanakutana na ukuta...either wanapoteza au ku shoot blindly..
 
Mkiambiwa mfanye mazoezi hamtaki mna kazana na uraia wa Damaro haya kiko wapi?
20251123_182513.jpg
 
Simba haioneshi kumwaga 'jasho' la kutaka ubingwa. Wamerelax sana na hawapo aggressive katika kushambulia.

Anicet Oura anaua sana mashambulizi kwa kupenda kukaa sana na mpira.

It's either benchi la ufundi halina mbinu, au wachezaji wanazingua.

Kocha wa Simba anashindwa kuzifungua timu zinazocheza 'Low Block' yani kiufupi ameshindwa kabisa.
 
Poleni Simba. Lakini viongozi wa Simba na benchi la ufundi wasiporekibisha yafuatayo mwaka huu wanaweza kumaliza bila kombe lolote:-
1. Backline ya Simba ijulishwe kabisa sio lazima kila mpira wacheza backpass. Na vile vile sio lazima waanzie kwenye box lao hasa ikizingatiwa kipa wao wa sasa sio mzuri wa kucheza mpira na miguu. Wakipuuza haya ipo siku watalia machozi. Wakumbuke Saadun aliwakosa kidogo tu.
2. Rushine ni bonge la beki anakaba vizuri lakini tatizo lake kubwa anakaa na mpira muda mrefu badala ya kuanza fasta kwa wenzake. Hii inawapa sana nafasi timu pinzani kujipanga.
3. Benchi la ufundi la Simba ni kama vile limelogwa na Selemani mwalimu. Kwenye mechi ya Azam na hii leo ya TRA imethibitika kuwa jezi ya Simba ni nzito sana kwa Selemani Mwalimu. Kama kweli Simba wanataka kupata angalau hata kombe moja mwaka huu basi warudi kucheza na false numbe nine. Vinginevyo wasahau kushinda taji lolote. Kuna wakati sijulielewa benchi la ufundi la Simba kucheza bila namba tisa asili wakati walikuwepo kwenye benchi lakini sasa naona ni kwa nini walikuwa wnafanya hivyo.
Selemani Mwalimu
- hawezi kupress kabisa matokeo yake kipa na mabeki wa timu pinzani huwa wana relax sana. Pressing siku
zote ndio husababisha makosa yanayozaa magoli
  • nafasi tano anafunga moja
  • muda wote badala ya kunyumulika yeye anajichimbia chini
  • badala afuate mpira mpaka mwisho yeye anakata tamaa mapema. Aende akaangalia video za Kagere
atajifunza kitu na wakati mwingine yeye Mwalimu atajikuta nafunga magoli ambayo hakutegemea
- badala aende na muvi kwanza mpaka asikie kipenga yeye huwa anacha mpira na kumgeukia refa
kumuonyesha kuwa ni faulu.

Kwa kifupi kinachowaangusha sasa Simba ni mshambuliaji wakati. Kama iwapo Sowah asingezingua Simba ingekuwa mbali. Kazi wanazofanya Kibabage, Kapombe, Chama, MpanzuGueye na Oura zote zikifika pale kati zikimkuta Mwalimu zinakuwa kazi bure Kabisa

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom