Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,762
- 26,764
😁🤣😂Sisi tunaongalia kupitia TvE mbona hatujasikia hicho kishindo?
😁🤣😂Sisi tunaongalia kupitia TvE mbona hatujasikia hicho kishindo?
Naunga mkono hojaHii mechi ni yetu na saizi tupo 11 afu wao wapo 10 inabidi tuwakazie tuhakikishe tunakaa nafasi ya pili
Awa DSTV kila mchezaji anacheza Simba play for simba play for SimbaDSTV wanamsifia sana.. . Sijui ingekuaje kama angekuwa anawasikia
Mkuu umeanza kuchangamka nini?Mbagala zakiemu
🤣😂😁Awa DSTV kila mchezaji anacheza Simba play for simba play for Simba
Uzalendo kwanza hapa ndipo Usimba na Uyanga hufukiwa.....
Tunakua mchanganyiko wa Nguvumojadaimambelenyumamwiko...
KabisaaaInabidi tuangalie mana tukifungwa na watu wapo pungufu itakuwa aibu
Football bring people together...Haya mapenzi na Taifa stars yametoka wapi leo
Tunangalia mpira kupitia TvEMkuu Tve muda huu kuna vipindi vya mapishi
Taifa kwanza mengine baadae.Uzalendo kwanza hapa ndipo Usimba na Uyanga hufukiwa.....
Tunakua mchanganyiko wa Nguvumojadaimambelenyumamwiko...
Tunataka timu ishinde lakini hatuna Cha kufanya sisi tunaangalia TV na ku post kwenye mtandao. Kumbuka wao Wana winga mmoja hatari Sana anazunguka pande zote za uwanja na anapnekana kuwazidi ujanja akina Haji na IbrahimMmeshaanza
Hamnaga jema wabongo
Ndio nchi yetu tuvumilieTushinde mechi, lakini wajinga wachache watakuja kumshukuru Samia kwa ushindi huu
Inakera sana hii kitu.Tushinde mechi, lakini wajinga wachache watakuja kumshukuru Samia kwa ushindi huu
Hii mechi ni yetu na saizi tupo 11 afu wao wapo 10 inabidi tuwakazie tuhakikishe tunakaa nafasi ya pili