Stars wanapojenga shambulizi, hawaongezeki ktk box.... kocha hajaliona hili?
 
Ukweli usemwe Kocha WA Starz nae anakwama dizain ameridhika na hiyo draw.
Why asijilipue hizi dakika za mwisho aingize akina kibu denga Ili wapush kilazima?
Draw inatusaidia nn sisi ni heri tufungwe Kwa kujilipua kuliko draw isio na faida.
Waige Kwa Gambia dhidi ya cameroon
 
Yani watu wote 11 waliopo uwanjani kwa dakika zaidi ya 70 hakuna hata mmoja aliyejitosa kupiga shuti lililolenga lango

Halafu hapo ndio tunajifariji kuwa tumecheza vizuri

Noma sana
 
Pamoja na kujitahidi bado tuna zero on target
Hatujapata on target lakini pia hatujafungwa hata moja katika goli zaidi ya 2 ambazo kuchwani ilikuwa ni rahisi kufikiria "tz leo inakufa si chini ya goli 2"
 
Back
Top Bottom