FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Penalty ya Mwisho.
Kaseke akikosa.
Mpira umeisha..
Amepata.
 
[emoji81][emoji81][emoji81] mkubwa pamoja na kuweka full mkoko ila bado ana pitia kitonga cha TFF
 
Kwani hizo zilizoongezeka zilikuwa zinatumiwa na timu moja pekee?​
sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap
 
Back
Top Bottom