Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,693
- 870,411
Uchawi mtupuGoli kipa wa Dodoma jiji alistahili tuzo ya man of the match
Uchawi mtupuGoli kipa wa Dodoma jiji alistahili tuzo ya man of the match
Kikubwa tupo kileleni hata Shadeeya anatambuaDodoma kijiji wachawi sana.. Ila tumewaweza🤣
na mimi naona, hebu mmalize mje kunichangia matundaSimba tamuu hii
nilijua Yanga ww 😁nashangaa mbona watu hakuna barabarani kumbe wapo busy na match za wanaume
Wapina mimi naona, hebu mmalize mje kunichangia matunda
nafanya delivery we sema ulipo na unataka matunda ganiWapi
hapan mi sishabikii mpiranilijua Yanga ww 😁
Nanji nanji ndani kabisa hukunafanya delivery we sema ulipo na unataka matunda gani
unashabikia mchezo gan sasa ?hapan mi sishabikii mpira
Matunda au dawa 😀nafanya delivery we sema ulipo na unataka matunda gani
matunda jamni khaaa😅Matunda au dawa 😀
Mtanii si tunaongoza au, kachungulie msimamo muda huu nani yuko juu.??Lol. Kwani mnaongoza kwa points ngapi Mtani?
Huwezi kusifiwa kwa kukimbia sana bali atasifiwa aliyekukimbiza sana!Goli kipa wa Dodoma jiji alistahili tuzo ya man of the match
😅😅😅 kwa nini nipate shidabwe nae Mtani.Mtanii si tunaongoza au, kachungulie msimamo muda huu nani yuko juu.??
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuona mtani unachekea chooni, kukaa juu kwa view once.[emoji28][emoji28][emoji28] kwa nini nipate shidabwe nae Mtani.
Muda wa jana asubuhi tulikua point 1 mbele yenuLol. Kwani mnaongoza kwa points ngapi Mtani?
Watajua wenyewe 🦁🦁🐒🐒🐒🐒🐒🐒