FT: Simba Queens 3-0 Yanga Princess | Ngao ya Jamii | KMC Complex | 12:00 Jioni

FT: Simba Queens 3-0 Yanga Princess | Ngao ya Jamii | KMC Complex | 12:00 Jioni

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,093
Reaction score
7,113
Nusu fainali Ngao ya Jamii kwa upande wa Wanawake inapigwa leo katika dimba la KMC Compex, Mwenge hapa inawakutanisha Simba Queens dhidi ya Yanga Princess.

Mshindi katika mchezo huu atakutana na JKT : JKT Queens ambaye ameshida dhidi ya Mashujaa Queens katika nusu fainali ya kwanza ilichezwa leo katika Dimba la KMC Complex

Tukitazama kirekodi Yanga Princess amekuwa mnyonge mara nyingi kwa Simba Queens

Leo tunasubiri kuona atamuandoa

Screenshot 2026-09-30 172817.png
 
Tokea enzi na Enzi Simba ndio inakuwaga wa kwanza kutawala na kuchukua makombe Tanzania ,yaani hii ni nature...Hata kwa wanaume Simba ndio club ya kwanza kutawala mpira wa Tanzania na kuchukua makombe ya ligi kuu..mwaka 1974,1975,1976,mfululizo ndio ikaja timu inayoitwa Mesopotamia,alafu baadaye yanga ndio wakaja....

Sasa ipo hivi Simba Queen ya kwanza,ikaja JKt queen then baadaye yanga watakuja...
 
Kwahiyo Sunderland/Queens kwanini bado ndiyo wamepigwa mechi nyingi head to head? Kwanini imepigwa goli nyingi zaidi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom