Kwanini Yanga wachague uwanja wa uhuru na sio KMC stadium?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,085
Reaction score
6,015
Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .

Simba kama Yanga akicheza hio mechi ya kirafiki hapo uhuru au Shamba la bibi basi kunauwezekano mkubwa wa kufungwa hio tarehe 10

Uongozi wa Simba hio mechi ya kirafiki haina manufaa kwetu hata kwenye ligi yetu ikiwezekana tubadili uwanja turudi isamuhyo tu.

Wanachokifocus Yanga ni hio mechi ya tarehe 10 ndio maana wamealika waje kucheza uhuru waturoge maana hawana njia toofauti na hio.
 
Kwamba kila siku watu wapo hapa Tz washindwe kuloga mpaka timu nyingine iwepo?
Yaani uloge kwa siku moja tu wakati kuna siku karibu 20 mbele mtu ashindwe kubatilisha?
Kuloga mnakujua au huwa mnajiandikia tu kuloga kuloga.!!
 
Lengo la yanga ni kuhamia moja kwa moja uhuru ili amvurugie Simba..

Dawa ni simba kupata uwanja wake.
 
Kwamba kila siku watu wapo hapa Tz washindwe kuloga mpaka timu nyingine iwepo?
Yaani uloge kwa siku moja tu wakati kuna siku karibu 20 mbele mtu ashindwe kubatilisha?
Kuloga mnakujua au huwa mnajiandikia tu kuloga kuloga.!!
Wataingiaje uwanjani bila kuwa na mechi au unadhqni hapo ni avic town 😂
 
Simba nao wacheze mechi nyingine ya kirafiki
Yanga wanataka waturoge yaani tusishinde mechi yeyote tukicheza nao hapo uhuru ikumbukwe kimataifa pia tunatumia uhuru wao walikimbilia chamanzi sasa naona dawa zimegoma wanataka waje uhuru
 
Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .

Simba kama Yanga akicheza hio mechi ya kirafiki hapo uhuru au Shamba la bibi basi kunauwezekano mkubwa wa kufungwa hio tarehe 10

Uongozi wa Simba hio mechi ya kirafiki haina manufaa kwetu hata kwenye ligi yetu ikiwezekana tubadili uwanja turudi isamuhyo tu.

Wanachokifocus Yanga ni hio mechi ya tarehe 10 ndio maana wamealika waje kucheza uhuru waturoge maana hawana njia toofauti na hio.
Hao utopolo hawana timu ya kumfunga Simba,kwa namna walivyopelekewa moto na Geita juzi, Wajiandae tutawapiga Tatu bila inshallah!
Utopolo wabovu sana tu! Labda wamroge Libase aumwe tumbo la kuhara! Wamempa pesa yule kibabu cha AZZAM jana ili amvunje mguu libase na kashindwa
 
Huna akili!!, uwanja ni wa simba? Yanga akicheza mechi hiyo simba nae akachezew atoe uchawi??. Mara 7 zote alizofungwa yanga walikuwa wanaenda uwanjani?
 
Yanga ni master mind sana hapo tutegemee kuroga uwanja ili Simba asishinde hio tarehe 10 wao wanatumia KMC stadium ila imekuwa ghafla kutaka kucheza mechi ya kirafiki uwanja wa uhuru ambao Simba anautumia kama uwanja wa nyumbani wamekuja ili wafukie matunguli yao uwanjani .

Simba kama Yanga akicheza hio mechi ya kirafiki hapo uhuru au Shamba la bibi basi kunauwezekano mkubwa wa kufungwa hio tarehe 10

Uongozi wa Simba hio mechi ya kirafiki haina manufaa kwetu hata kwenye ligi yetu ikiwezekana tubadili uwanja turudi isamuhyo tu.

Wanachokifocus Yanga ni hio mechi ya tarehe 10 ndio maana wamealika waje kucheza uhuru waturoge maana hawana njia toofauti na hio.
Huo ni uwanja wa taifa na umejengwa kwa kodi za wananchi siyo wa Simba, kila timu ina mamlaka ya kuutumia mkuu
 
Wataingiaje uwanjani bila kuwa na mechi au unadhqni hapo ni avic town 😂
Mkuu wa mkoa Yanga, Mama la Mamalao Yanga, Waziri Mkuu Yanga, inawezekana meneja wa uwanja Yanga, janitor anaweza kuwa Yanga, Kamanda Muliro anaweza kuwa Yanga.
Simu moja tu wanafunguliwa geti mchana kweupee wanawanga 😃
 
Huna akili!!, uwanja ni wa simba? Yanga akicheza mechi hiyo simba nae akachezew atoe uchawi??. Mara 7 zote alizofungwa yanga walikuwa wanaenda uwanjani?
Simba sc muy bonito
 
Mkuu wa mkoa Yanga, Mama la Mamalao Yanga, Waziri Mkuu Yanga, inawezekana meneja wa uwanja Yanga, janitor anaweza kuwa Yanga, Kamanda Muliro anaweza kuwa Yanga.
Simu moja tu wanafunguliwa geti mchana kweupee wanawanga 😃
Libasse gueye juega al fútbol muy bien
 
Uchawi haufani kazi kwemye mpira acha uduwanzi. Simba tunafungwa na Yanga kutokana na Ubora wao kwa misimu 5 msimu huu yanga na simba ubora unafanana tutegemee sare
 
Back
Top Bottom