FT: Simba SC 1-0 KMC | Uwanja wa KMC | Juni 30, 2026

Modi naomba muuweke huo uzi vizuri wa mnyama
 
Yanga lazima tushinde mechi yetu na jkt maana hii ratiba ilipangwa kimsimbazisimbazi
 
Mechi 8 zote za saa kumi tv moja kubadilisha kilamara mara utopolo mara wauza ice cream mara makolo du bora nilale tu
 
Weka hapa kikosi kinachoanza na utoe updates mara kwa mara! Kuanzisha uzi kama huu kunaambatana na wajibu ambao naona haujautmmiza vizuri. Kila la heri mnyama!
Leo majira ya saa kumi kamili Mnyaama ataenda kummalizia KMC hasira zote za kukosa ubingwa msimu huu
 
Simba kahujumiwa sana sana miaka 5 hii,wasipoamua kufanya mapinduzi na kuweka wazi hujuma walizofanyiwa watazidi kuumia.Hujuma na mipango yote zimefanywa kwa ustadi na Yanga kwa mashirikiano na baadhi ya viongozi walio serikalini.
TFF hawana nguvu za kuzuia uhuni ambao umekuwa unafanywa.
Magoli alitaka kuuokoa mpira wa Tanzania,ila aliishia njiani.
Mfano, Kuna timu zilifanya juu chini kuzuia Simba asipate matokeo ya ushindi( Pamba jiji mechi ya kwanza), lakini hiyohiyo ilimkuja ikapigwa goli nyingi na Yanga.

Kuna uhuni wa namna hii sana upo.
Mpira wa bongo umekufa,subirini miaka kadhaa ijayo kuna anguko kubwa sanaaa.
 
Yanga kosa lake ni nini?
 
Hatimaye milio imeanza kusikika
 
Wachezaji wa simba waache kupoteza nguvu zao. Tayari Yanga ni Bingwa. Wajipange kwa ajili ya mechi ya fainali kombe la shirikisho dhidi ya Azam hiyo tarehe 4!
 
Simba kahujumiwa sana sana miaka 5 hii,wasipoamua kufanya mapinduzi na kuweka wazi hujuma walizofanyiwa watazidi kuumia.Hujuma na mipango yote zimefanywa kwa ustadi na Yanga kwa mashirikiano na baadhi ya viongozi walio serikalini.
TFF hawana nguvu za kuzuia uhuni ambao umekuwa unafanywa.
Magoli alitaka kuuokoa mpira wa Tanzania,ila aliishia njiani.
Mfano, Kuna timu zilifanya juu chini kuzuia Simba asipate matokeo ya ushindi( Pamba jiji mechi ya kwanza), lakini hiyohiyo ilimkuja ikapigwa goli nyingi na Yanga.

Kuna uhuni wa namna hii sana upo.
Mpira wa bongo umekufa,subirini miaka kadhaa ijayo kuna anguko kubwa sanaaa.
Tatizo Simba ni viongozi, wangekuwa ni mtibwa au timu nyingine tungewatetea ila viongozi wa Simba wamejaa siasa ndio maana kila mara wanaonewa.
 
Back
Top Bottom