KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Vin Diesel na KOKUTONA wapendanao muda huu wanaua chawa na kunguni vitandani mwao nyie saa hivi kila mtu kashika kimchina chake anachat mmekosa kazi
Ngoja nimwite gfsonwin aje awafunde na AshaDii maadili ya nyumba
Mi Mamndenyi analea kachanga ndo maana niko na kimchina changu hapa
Unamaanisha nini hapa? Sijakusoma kabisaa. We....chawa?.....Kunguni?....