Vin Diesel aise nimemmiss kimyoyomoyo ndo maana namtaja KOKUTONA bana
We mbona huwa unamtaja Mamndenyi sisemi kitu aise
Rutashubanyuma nilipotea aise kisimu changu cha mchina kilikataa kulog on kwenye JF kikawa kinaniletea kiingereza ambacho sijui kukisoma
Ila nimerudi mkuu Rutashubanyuma naamini ni mzima kabisa mkuu
asante binamu kwa protection. Kesho nitaleta cv yanguasante binam, mi nachunga sana damu yangu ile alama ya baba V si muzuri. stay away
Kama ajira sema ntakutafutia i'm here to protect.
KOKUTONA mwenye majungu ni Baba V na mwenzake Erickb52 bana mi wala sina majungu
Baba V hajambo mke wangu mpendwa Dena Amsi
Nimewamiss sana gfsonwin, Blaki Womani, King'asti, snowhite (pole kwa msiba)
Nicas Mtei, Vin Diesel, Bishanga, Arushaone, Asprin, Mamndenyi, ndetichia, Rutashubanyuma, loya Ruttashobolwa, Kaizer,
Vin Diesel aise nimemmiss kimyoyomoyo ndo maana namtaja KOKUTONA bana
We mbona huwa unamtaja Mamndenyi sisemi kitu aise
Rutashubanyuma nilipotea aise kisimu changu cha mchina kilikataa kulog on kwenye JF kikawa kinaniletea kiingereza ambacho sijui kukisoma
Ila nimerudi mkuu Rutashubanyuma naamini ni mzima kabisa mkuu
Basi tuu nimekumiss kama nini na nakupenda kama nini KOKUTONA ila upendo wa kawaida kama nini sijuiKwa hiyo ukini MISS?
Mhhh! ha ha haaa, hauwi wala haitii kizunguzungu lol
KOKUTONA hebu tukafanye ekperimenti ya baiolojia zetu tuone kama zimekaa kijoka la kibisa
Halafu uje umwelezee Vin Diesel matokeo yake
Basi tuu nimekumiss kama nini na nakupenda kama nini KOKUTONA ila upendo wa kawaida kama nini sijui
Vin Diesel asiwe na wivu kabisa