From the desk of the Chairman Baba v.

From the desk of the Chairman Baba v.

Kausha mwanaume.....sio kila kitu kinafaa kusema, utaniharibia dili zangu zote nikose pote!!!!!!!!

04.JPG nyie endeleeni tu mtanitambua mie niliwahi kuwa nani.
 
Mr Rocky
niko salama
nawe ulikuwa kwa katibu kata wa kata ya Mkata?
haujaonekana.

Mamndenyi walinipeleka kwa katibu kata wa kata ya mkata kukata kata makato
Halafu network ikawa ni mpaka upande juu ya mti wa kijiji na ukipanda hapo lazima ulipie
Halafu kimchina changu kikawa kinaniandikia kiingletha kigumu sikielewi
Nimekumiss mbaya aise Mamndenyi
k
 
Last edited by a moderator:

Inakuaje kaka? Mambo iko poa?
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA hivi ungejua gfsonwin ni mwalimu wangu wa biology na ananifundisha ile topic ya reproduction usingesema
Vin Diesel si kuna wakati alikuaga anaenda kukupikia msosi muda huo ndo niliongea nae kwa kirefu sana
gfsonwin ukiona sehem wanapiga kelele sana we jiendee tuu maana hapo kuna issue

Tunaaminiana sana, hawezi kusikiliza hayo majungu.
 
We dogo huyo mkeo anatumiama meseji na Ben Saanane we umekaa kimya tu, itakula kwako, labda huzijui sera za ki pipoz pawa, atakuwa hachomoki pale, muulize mkongoman chimbuvu analia kama mtoto, mcheki hapa

bro Baba V umenisahau mdogo wako? embu kumbuka nilivyo kuwa kule cuba.image002-1455.jpg
 
Last edited by a moderator:
hahahaha ha ha ha hahahaha
hii nayo kali
ilimradi umeweza kurejea town naona utayasahau yote yaliyokupata.

Mamndenyi walinipeleka kwa katibu kata wa kata ya mkata kukata kata makato
Halafu network ikawa ni mpaka upande juu ya mti wa kijiji na ukipanda hapo lazima ulipie
Halafu kimchina changu kikawa kinaniandikia kiingletha kigumu sikielewi
Nimekumiss mbaya aise Mamndenyi
k
 
QUOTE=KOKUTONA;5794930]kama ni biologia naijua sana sana, muulize gfsonwin anajua[/QUOTE]
We unajua ya darasani ila mwalimu gfsonwin huwa anafundisha praktiko na tunakuwa wawili wawili darasani w
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom