Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Huyo ni kaka au kamba?
Last edited by a moderator:
Ipi?Ina maana ndoa zangu zote hizi huzioni?
HahahahaaaaHuyo ni kaka au kamba?
Hahahahaaaa
Utasema mengi ila huambulii kitu
hii hapa ona tulivyotokelezea
sasa hapa nioneni nilivyopozi nikismile kwa mbali
na hapa yuko Mentor tukikienjoy kiaina aina
sasa wewe Chimbuvu hizo picha ulipiga na mkeo Madame B nini na umezitoa wapi sisi sio wanene kama nyie kwanza mliharibu muonekano wetu siku ile ya harusi yetu au naongopa my husband Mentor hebu sema wewe maana mm nitaonekana msemaji kwelikweli
nashukuru kwa kutuonesha wasaidizi wako ambao tutawaambia matatizo ya ndoa zetu humu mjengoni cc, ila umekosea kumuweka watu8 kuwa msaidizi wako kwani mtoto mdogo na isie ni watu wazima itakuwaje tukimpelekea mattatizo ya kindoa mtoto mdogo atatua vipi huyo? bora angekuwa Bujibuji ingekuwa vyema au kaka yangu Erickb52 hapo sawa, sasa ndugu nilikutumia cheti cha ndoa yetu je ulikipata au Chimbuvu amekiacha home kwake kwani nilimpa akuletee tunakaa naye jirani yeye tunamwacha nyuma sisi tuko mbele yaani kigamboni. halafu kwanini hujamtumia copy mume wangu Mentor atajuaje yeye kama wewe umejipumzisha, ila usijali nitamwambia kwani mm umeshanipa cc yangu
hizi ndizo picha halisi ambazo nimezitoa kwa cameraman wetu Filipo hizo ni feki sisi na my husband Mentor hatuko hivyo kabisa angalieni hapa ndo zenyewehapa tuko na wazazi wa Mentor View attachment 84748 hii hapa ona tulivyotokelezea View attachment 84749sasa hapa nioneni nilivyopozi nikismile kwa mbali View attachment 84750na hapa yuko Mentor tukikienjoy kiaina aina View attachment 84752 sasa wewe Chimbuvu hizo picha ulipiga na mkeo Madame B nini na umezitoa wapi sisi sio wanene kama nyie kwanza mliharibu muonekano wetu siku ile ya harusi yetu au naongopa my husband Mentor hebu sema wewe maana mm nitaonekana msemaji kwelikweli
Kimeshaumana huku.....!!
Umeshaanza kushindwa ee..!! umekutana na kiboko yako
haya angalia Baba V huyu Chimbuvu anavyotuletea vitu vya ajabu sana hapa kweli alifaa kuwa msimamizi wetu jamani? haa! kanitibua kweli yani kaleta picha za yeye na mkewe Madame B walivyokuwa uko nyuma katuletea sisi hapa hajui sisi ni english figure na tunapenda jinsi tulivyo na tulipendana ile mbaya mpaka watu wanasema nyie ni mapacha kumbe wala kila mtu kabila lake tumeendana kisawasawa au naongopa laaziz wangu Mentor
Huyu anakutisha nini?
Hana lolote zaidi ya kuambulia vibuti tu.
Mi nina vyeupe sio CHEUPE aisee
Yan hana jipya
Vin Diesel nimemiss ndo maana namtaja KOKUTONA
ladyfurahia mi sijawahi pigwa BAN na wala sijui huko Ban sijui ndo wapi
Erickb52 mzee wa majungu si unamuona kashaingia huyo Vin Diesel
gfsonwin tunakaribia robo ya kwanza ya mwaka huu inabidi ujitahidi sana aise maana kama hujatelekeza yale uliyojipangia ni hatari sana.
KOKUTONA mwenye majungu ni Baba V na mwenzake Erickb52 bana mi wala sina majungu
Baba V hajambo mke wangu mpendwa Dena Amsi
Nimewamiss sana gfsonwin, Blaki Womani, King'asti, snowhite (pole kwa msiba)
Nicas Mtei, Vin Diesel, Bishanga, Arushaone, Asprin, Mamndenyi, ndetichia, Rutashubanyuma, loya Ruttashobolwa, Kaizer,