LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,512
ah acha kbs ya ndani yabaki ya ndani tu🙈🙈Hivi dada mkubwa hata nyie wanawake mnaipenda hiyo style?
ah acha kbs ya ndani yabaki ya ndani tu🙈🙈Hivi dada mkubwa hata nyie wanawake mnaipenda hiyo style?
😄😄😄ah acha kbs ya ndani yabaki ya ndani tu🙈🙈
Kaka acheni kumtisha mwenzenuIMO hapo hakuna usalama..
Akili kubwa lazima ichambue kila kitu sio kila zuri ni jema kua makini[emoji23][emoji23], mkuu bidada kamtumia sms kwa mahaba yote yeye sijui wasiwasi wa nini.
Huyo kakosea txt 20%... Katokaa kugongwaa hivyo nafsi inamsutaaa 78%.. na 2% kweli ana maanisha!!
Neno hakuna mwingine limeharibu uzuri wa ujumbe wenyewe hivyo hakumaanisha bali kajistukiaHuyo kakosea txt 20%... Katokaa kugongwaa hivyo nafsi inamsutaaa 78%.. na 2% kweli ana maanisha!!
Jf Kuna vituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa ametoka kupigwa hii style pendwa ya kula wake za watu![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1671061
We huwajui hawa wewe...Hii inaonyesha ni jinsi gani watu humu hawana utamaduni wa texts za hivyo kutoka kwa wenza wao.
Ujinga ni huyu bwana akibeba komedi za humu na kuzifanyia kazi.
Meseji haina uzuri wowote hii dada angu.Mkewe KALIWA BILA UBISHI na kinachomsumbua now ni hatia tu moyoniEh[emoji23][emoji23][emoji23]jinsi gani mahusiano yamekuwa changamoto Hadi wa kwenye ndoa hamjiamini[emoji3][emoji3][emoji3]Yan msg nzr km hiyo unafikiria _ve tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiogope chukulia kawaida sana hata kama unapenda sana mbona huko upo kivyako na maisha yanaenda kupata dalili hizo inabidi ushukuru ushajua mapungufu bila jazba hapo kama nikuwekana sawa au kutemana haya yote inategemea mazingila yakeMkuu hata usingizi hauji sielewi kabisa, nimejaribu kumuelekeza izo kauli na jambo jingine lilikua haliposawa akawa kwenyesimu haongei, namwambia mbona huongei anasema nakusikia ila nikiongea hanijibu mwishoe nikaamua nikate simu, ila moyo unaniuma, nimepiga tena hapokei na najua kesho atadai nilipokata cm alilala da! Sijui yan
DooohUmeibiwa
Inaweza pia isiwe hivyo, kwanini uwaze negative? Ni kwamba hawana mazoea ya kuambiana au kutumiana msg za kimapenzi, wao ni mwendo wa kijeshijeshi tu siku zote. Mkiwa na mazoea hayo wala hutashtuka msg kama hiyoKuna nyingine ni fikirishi kwa huyu anajitakasa huenda sio mzoefu au amefanyiwa jambo baya majuto yake ndo hayo.
Kajistukia huyo
Yote mawili yanawezekna.Ukisoma comment za humu nachoka kabisa. Watu hawana upendo ndani ya nyoyo zao, hawajui kupendwa, sijui kwasababu ile tabia ya wazazi wetu kushindwa kusema nakupenda mwanangu hata mara moja kwa miaka mitano ndio inakua mpaka kwenye mahusiano yetu inatuathiri.
Naamini we jamaa hiyo sio lugha yako ya mapenzi ndio maana huelewi, nyie ndio wale ambao watu hatuwaelewi hisia zako, hisia zilishachakazwa.
Nilikua nasubiri kuona comment yako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Duuhhh jamaa, Demu ametoka kutombwaa ,ivo kaumia, sasa anajitibu mwenyewe kwa kufunika kombe .
Amin nakuambia,hatokaa tena akutumie iyo sms ilimradi anayemtombaa ni huyohuyo.
Siku akitombwaa na jamaa mwengine, ndipo tena atakuambia NAKUPENDA SANA MUME WANGU ...
Nini ufanye ???.
Nitafute nikupe msaada.....hawa wanaaakili ndogo sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani weee m2 lol."SINA MWENGINE ZAIDI YAKO"
Hiyo huwa ni kauli ya Wanaume malaya na wanawake malaya.
Narudia, DEMU wako amepigwa pumbu, kwahiyo alikua anajaribu kujitibu kwa kufunika uchafu kupitia maneno km hayo.
Naa kama leo ndio mara yake kuliwa nje, hatokutumia sms ya ivo tena ili mradi anayemtomba atabakia kua huyohuyo mmoja.
Ila kama kuna siku atakuambia tena ivo, ujue aliyekua anamtombaa kamuacha, au keshapata jamaa mwengine tena anayemtombaa.
Wanakuaga na akili ndogo hawa!!!.