Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

Mi nakuunga mkono ndugu,
nadhani hata lugha yenyewe iliyotumika (English) labda ilimpa shida kidogo Gerald Hando hadi kuuliza leading questions na kuacha kuuliza mabo mengi ya msingizi kuwawezesha watamzamaji kuijua vizuri kwanza Freemasons kabla hawajaingia kichwakichwa alafu wakatuana na terms and conditions ngumu mbele ya safari.

kwa mfano:
1. hakuuliza baadhi ya alama za vidole wanazotumia (vidole viwili wanavyotumiwa hata wanamuziki wa nje) zina mana gani
2. Sir Chande alisema kutoka level moja kwenda ya juu kuna mitihani mtu anapewa mpaka afaulu ndiyo apande cheo, hajauliza mfumo wa hiyo mitihani ikoje au conditions zake zikoje
3. Swala la kwamba hakuna financial gains kma alivyosema Sir Chande hakuuliza mbona karibia wanachama wote wa Freemasons duniani wanaonekana kuwa na utajiri mkubwa tena wakupindikia na kila anayeingia huko hufanikiwa.
4. na kama hakuna siri angemuuliza kwa Tanzania members wao ni wakina nani?
5. Kwanini ukitaka kuingia Freemason mpaka kwanza uwe na dini na umuamini Mungu lakini mukishaingia huko hamruhusiwi kuzumzia dini japo hata kama kila mtu ana dini yake.
6. Nini ilikuwa dhamira ya kuanzisha Freemason na nini on return muanzlishi alitegemea kupata havikuwa wazi.

kwa kifupi shoo haikuwa nzuri mana mahojiano na majibu ya Sir Andy Chande yalionyesha Freemason ni kama dini ya kawaida kama Islam, Cristianity, Hindu n.k kitu ambacho mimi binafsi sitaki kukubali
 

Pasco tuko pamoja na hiyo ndio confusion ya hii fraternity. Labda ntakuwa waelewa siku moja maana ile ya Gerald Hando ilikuwa shallow sana...hakujua kuulizia yale yanayotia watu dukuduku.
 
Sir chande nimemsoma vizuri sana kutoka sources mbalimbali,,huyu jamaa cheo cha SIR alipewa na queen elizabeth ambae ndo mfuasi mkubwa wa wamasonia,,

Sitaki kueleza meengi sana ..

Kuna official websites ya kujua vizuri,
Vist Andy Chande

Hapo ndo utajua ni wafuasi wa ibilisi tosha kabisa..
 
...mkuu Pasco...hii hadithi yako inafanana na movie zinazoitwa Clash of Tinanis...na wrath of tinanis...ushaziona..hizi...creation btwn man and god....thanx...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Grey, asante sana na ubarikiwe sana!. Usiwe na wasiwasi kabisa kuhusu sisi Watoliki na wakovu wa dunia hii!, sisi tuko kwenye lile kundi la Bwana ambalo "TUTAOKOLEWA KWA NEEMA NA SIO KWA MATENDO"
Bwana Asifiwe sana!.
 
Hawa masons mnawapa attention hata wasiyostahili kabisa.

Hawana lolote la ajabu wala spesho.
 
Reactions: Ame
Pasco wewe ni zaidi ya mwalimu


 

I cry for our children maana siku hizi hawa watu wanajaribu ku-impart hizi attitude zao kwa watoto kutumia curiculum esp. nyingi za hizi shule za school bus...God have mercy on us na wazazi kwa ulimbukeni wanawaacha watoto wao wakijua ni civilization!
 
Ndugu yangu Pasco,

Mungu hana wa kufananishwa nae, hana mpinzani......yeye ni mwanzo na mwisho, alfa na omega:..aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo. Katuumba sisi na shetani pia, shetani kumbuka aliasi na kutupiliwa mbali, hana lolote la kuweza kumlinganisha na Mungu wetu mkuu


shetani ni muasi tena baba wa uongo! Dhuluma na fitna kwa wanadamu ameshashindwa kwani Mungu katoa sadaka kubwa sana kwa ajili ya ukombozi wetu wanadamu, nayo ni mwana wake pekee Yesu Kristo, aliyekufa msalabani ili damu yake iwe dhabihu ya kweli ya kutusafisha dhambi zetu.

Tusizungumzie dini zetu, kuwa katoliki au lutheran au anglikana au pentecoste siyo tija au tiketi ya wokovu na kwenda mbinguni. Muhimu ni kukiri na kuupokea neema ya wokovu, tena tukiomba unyenyekevu kwa Mungu

naona tunaipaisha sana freemansory lakini mipango yake yote ishashindwa tayari katika jina la Yesu. Amen
 
Reactions: Ame

Hapo uliposema panaitwa maili sita ila ni mahali pa kuchezea kamari

Sent from my nokia 3310 using JamiiForums
 
unajua sometimes gerald nae binadamu labda alikuwa anaogopa kuuliza maswali magumu ukichanganya pia alikwenda kwa wenyewe tena, you may never know
 

Hamuwezi nyinyi kuzungumza mada bila kuwagusia waislamu. Ni sawa na CCM kuongea jambo bila kuigusia CHADEMA. mf. Gesi mtwara. Naona watakuwa wamekushika pabaya, pole.
 
Alisema sifa kubwa ya kuwa Freemasons lazima kwanza uwe na umri wa miaka 21 na lazima uwe unaamini Mungu, ila ni mungu yoyote, God, Allah, Budha, Krishna, etc, wapangani au wenye kuabudu dini za kiasili hawaruhusiwi kuwa members!.

WAPAGANI AU WENYE KUABUDU DINI ZA KIASILI HAWARUHUSIWI KUWA MEMBERS.. Kwakuwa hao tayari washakuwamo ndani ya nyavu ya Shetani!
 
acha uongo umeshaambiwa huko kuna level tofauti tofauti yaan degree na zipo 33 sasa wewe utasemaje kuna equality ikiwa kuingia kwenye lodge zao kunategemea level (degree) yko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…