Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

Pamoja na mazuri yake yote, hapa Mbowe hayuko serious hata kidogo.
Swali rahisi tu: Kama wana uwezo wa kufanya chochote, kwa nini hawakufanya wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Lakini pia angeweza kupisha mkiti mwingine aje na mawazo mbadala. Ubabe unaweza usisaidie pia.
 
Hii ndo tofauti ya ubora wa wanasiasa wa upinzani TZ na wale wa Kenya. Pale Kenya pamoja na vituko alivyofanyiwa Odinga, hatukusikia maneno yenye immaturity kiasi hiki.

Msingi wa maisha ya Mbowe umepinda sana, kiasi kwamba hata akiigiza kuwa na busara lazima kuna sehemu kama hizi, anazokutana na akina mama wakapiga vigelegele, anajikuta anarudia uzoefu wake ktk maisha. Uhuni! Ule Uhuni na umwamba wa kuzungukwa na mabaunsa wa casino.
 
Sure but when the oppressed shout out they must do it at the right time, place and odiance. Do yu think he shouted at the right time and place???
Ccm wamekosea timing ya uhuni waliofanya kilichofanyika kilindi chanuchaguzi mdogo kilitakiwa kufanya 2020 Sasa mwenzao kaweka wazi yuko ready kwa maridhiano na na katangazia umma kama hawa yako maridhiano wao hawatakubali kunyanyasika
 

Ngoja tusubiri hotuba yake wakati wa Mkutano Mkuu tarehe 18/12/2019 atatoka na kitu gani bwana DJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…