• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

EdygarMassawe

EdygarMassawe

New Member
Joined
Dec 12, 2019
Messages
4
Points
45
EdygarMassawe

EdygarMassawe

New Member
Joined Dec 12, 2019
4 45
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,631
Points
2,000
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,631 2,000
Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.

#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
Pamoja na mazuri yake yote, hapa Mbowe hayuko serious hata kidogo.
Swali rahisi tu: Kama wana uwezo wa kufanya chochote, kwa nini hawakufanya wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
1,348
Points
2,000
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
1,348 2,000
Lakini pia angeweza kupisha mkiti mwingine aje na mawazo mbadala. Ubabe unaweza usisaidie pia.
 
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
4,348
Points
2,000
Patriot

Patriot

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
4,348 2,000
Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.

#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
Hii ndo tofauti ya ubora wa wanasiasa wa upinzani TZ na wale wa Kenya. Pale Kenya pamoja na vituko alivyofanyiwa Odinga, hatukusikia maneno yenye immaturity kiasi hiki.

Msingi wa maisha ya Mbowe umepinda sana, kiasi kwamba hata akiigiza kuwa na busara lazima kuna sehemu kama hizi, anazokutana na akina mama wakapiga vigelegele, anajikuta anarudia uzoefu wake ktk maisha. Uhuni! Ule Uhuni na umwamba wa kuzungukwa na mabaunsa wa casino.
 
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
3,024
Points
2,000
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
3,024 2,000
Sure but when the oppressed shout out they must do it at the right time, place and odiance. Do yu think he shouted at the right time and place???
Ccm wamekosea timing ya uhuni waliofanya kilichofanyika kilindi chanuchaguzi mdogo kilitakiwa kufanya 2020 Sasa mwenzao kaweka wazi yuko ready kwa maridhiano na na katangazia umma kama hawa yako maridhiano wao hawatakubali kunyanyasika
 
ChizzoDrama

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Messages
1,036
Points
2,000
ChizzoDrama

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2019
1,036 2,000
Mbona mbowe anajitejenya alafu anacheka mwenyewe
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
36,932
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
36,932 2,000
Najua Jiwe atajibu kauli hii kwa kiburi na kejeli, ila uzuri ni kwamba ujumbe umemfikia.
 
ChizzoDrama

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2019
Messages
1,036
Points
2,000
ChizzoDrama

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2019
1,036 2,000
Najua Jiwe atajibu kauli hii kwa kiburi na kejeli, ila uzuri ni kwamba ujumbe umemfikia.
nidhamu ya uwoga kwa MTU anaye jiita kamanda mkuu..hayo si angeyasema ile siku ya Uhuru pale mwanza
 
mangyi

mangyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
200
Points
250
mangyi

mangyi

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
200 250
Mzee Mbowe ameongea hii kauli kusafisha taswira yake iliyochafuka siku chache zilizopita. Ili kuonesha umma kwamba hakupiga magoti kwa Raisi Magufuli, atalazimika kujitutumua na kufanya vitu vya hatari ili kuthibitisha kwamba haogopi mtu.
Na kweli hakupiga magoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkiluvya

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Messages
505
Points
500
mkiluvya

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined May 23, 2019
505 500
Mh. Mbowe endelea kuwadanganya wanaufipa ili uendelee kula ruzuku na mavuvuzela ya ufipa yaendelee kushangilia siku ile ulipokodi ndege kwenda kujipendekeza kwa Rais Magufuli vuvuzela walishangilia hata sasa kwa kauli hii yatashangilia ikifika tena 2020 ukiona umebanwa tena tangaza kujitoa watashangilia tena.
Ngoja tusubiri hotuba yake wakati wa Mkutano Mkuu tarehe 18/12/2019 atatoka na kitu gani bwana DJ
 
K

kichoroba89

Senior Member
Joined
Oct 3, 2019
Messages
140
Points
225
K

kichoroba89

Senior Member
Joined Oct 3, 2019
140 225
Mmeongea na huyo katibu mkuu wa UN kakubali au ni ndoto? Mnaacha kupigania haki wenyewe mnamuota huyokatibu. Mmeshafeli vibaya kama mna mawazo ya hovyo hivo.
Umeonae wamefeli sana hao kiukweli
 

Forum statistics

Threads 1,402,664
Members 530,964
Posts 34,401,569
Top