Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

kwenye jimbo la mbatia ofisi zilifungwa siku 4 ili wakose pa kurudisha form, hapo napo inahitajika elimu na pesa za semina?????????
 
Oyoooooo.Hatujasahau ndo zenu hakuna lolote. Ukuta mliishia wapi ? Hamna lolote nyie. Yaani 2020 hampati hata diwani mmoja achilia mbali wabunge.
 
Hii ndio kasi mnatakiwa muwe nayo..sio kila siku tuwaone mkiburuzwa mahakamani...fanyeni 'yenu' kuweni mbadala wa serikali sio wahtuhumiwa wa serikali...
 
Nimesoma clip inayotembea kuhusu sehemu ya hotuba ya mh Mbowe aliyoitoa hivi karibuni kama inavyoonekana hapa chini binafsi inanipa wasiwasi makubwa sana kwa amani ya nchi na hii inanikumbusha alivyosema anahitaji "maridhiano " au amedai hivo ili serikali ishindwe ili "Akinukishe?) Hivi kwa nini tunafika huko?
 

Attachments

  • FB_IMG_15764001364115016.jpg
    FB_IMG_15764001364115016.jpg
    47.5 KB · Views: 1
Ndio matatizo ya Mbowe akihutibia huku amekanyaga vodka
Kibaiolojia tumbo ni la kutunzia kinyesi kwa bahati mbaya au kutokana na Mutation mwil wako umegeuza hilo kichwa ndio unatunzia kinyesi halafu tumbo ndio linatunza ubongo
 
Kwa sasa raia wote wa Tanzania tufanye bidii ya maombi na dua ccm iteue viongoz bora na wenye nia ya kutupeleka mbele . Hali halis imeshatufikisha hapo. Tusubir miongo mingine ya mabadiliko ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom