Umefanya utafiti kwa wananchi
Hakuna mananchi anaeimba katiba mpya kama sio vyama vya upinzani kwa uroho wao na uchu wamadaraka yakudhani kwamba katiba mpya itawasaidia kuondoa ccm madarakani. Kwa ujinga huu katiba haiwezi kupatikan, na hataikipatikana itakuwa katiba ya hovyo saaana kwa kuwa itajaaa masilahi ya uvyama na si matakwa ya wananchiii.
 
Mama atupe Timeframe ya kuanza kwa Mchakato wa Katiba au aruhusu tutoe mapendekezo ya kuongezwa kwenye hii Katiba ya zamani

Siasa za Majukwaani ni muhimu sana ila sio kuporomosha matusi
morganthink.png
 
Hakuna mananchi anaeimba katiba mpya kama sio vyama vya upinzani kwa uroho wao na uchu wamadaraka yakudhani kwamba katiba mpya itawasaidia kuondoa ccm madarakani. Kwa ujinga huu katiba haiwezi kupatikan, na hataikipatikana itakuwa katiba ya hovyo saaana kwa kuwa itajaaa masilahi ya uvyama na si matakwa ya wananchiii.
Waliotoa maoni katiba ya Warioba hawakuwa wananchi.
 
HAKUNA ANAYE PINGA KATIBA MPYA, ISIPOKUWA KWANZA WANAODAI KATIBA MPYA NI WANAHARAKATI WENYE VYAMA VYAO NA MATAKWA YA VYAMA VYAO. KWAHIYO MPAKA SASA WANASIASA KUDAI KATIBA NIKUTAFUTA KATIBA ITAKAYOJAA MLENGO NA MATAKWA YA WANASIASA KWA MASILAHI YA VYAMA VYAO. OMBILANGU NI KWAMBA, WANASIASA WOTE WA VYAMA VYA SIASA WAKAE PEMBENI KABISA KWAKUWA TAYALI WAMESHA NAJISI ZOEZI ZIMA. KWA HALI ILIVYO MPAKA SASA IKITOKEA MCHAKATO UKAWA RASMI KATIBA HAITATOKA TENA ZAIDI KAMA HATUTAKUWA MAKINI TUTAISHIA KWENYE MACHFUKO MAKUBWA. WANASIASA WA VYAMA VINGI HAWAWEZI LETA KATIBA KWAKUWA WANAMLENGO TOFAUTI.
Salute mkuu.
Katiba nzuri haitatokana na matakwa ya kisiasa.
Ingekuwa siasa ina tija kwenye Katiba basi mwaka 2014 tungepata Katiba, maana vyama vya siasa vilishirikishwa kiasi cha kutosha.
 
Punguza sauti mkuu.Mwandiko wako una "sauti" kubwa ajabu.😂😂😂😂😂
 
Kwan katiba ya sasa inamzuia mtu kuwa na madaraka hayo? Kama sio sasa katiba mpya ya Nini?
Wewe wenda una tatizo ,leo upo kesho haupo, Katiba MPYA ni KWA ustawi wa taifa la leo na kesho na KWA vizazi vyako vijavyo, Katiba iliyopo imeidhinishwa na kakikundi tu , sio ya wananchi ,usiangalie leo unaishi angalia kesho ,
Kwan katiba ya sasa inamzuia mtu kuwa na madaraka hayo? Kama sio sasa katiba mpya ya Nini?
 
Salute mkuu.
Katiba nzuri haitatokana na matakwa ya kisiasa.
Ingekuwa siasa ina tija kwenye Katiba basi mwaka 2014 tungepata Katiba, maana vyama vya siasa vilishirikishwa kiasi cha kutosha.
ASANTE KWA KUTAMBUA HILI. HAWA WANASIASA HAWAWEZI KWAKUWA WATAISHIA MIGOGORO KAMA KIPINDI KILE. HIVYO WAACHE MARAMOJAA.
 
Nadhani Taifa lolote linapaswa kuwa na vipaumbe vyake je watanzania wengi leo kipaumbele Chao NI katiba ,? Maana tuache kuchezeshwa kwata na maslahi ya watu wachache wenye urohowao ili tutoke hapa tunahitaji Nini zaidi
 
HAKUNA ANAYE PINGA KATIBA MPYA, ISIPOKUWA KWANZA WANAODAI KATIBA MPYA NI WANAHARAKATI WENYE VYAMA VYAO NA MATAKWA YA VYAMA VYAO. KWAHIYO MPAKA SASA WANASIASA KUDAI KATIBA NIKUTAFUTA KATIBA ITAKAYOJAA MLENGO NA MATAKWA YA WANASIASA KWA MASILAHI YA VYAMA VYAO. OMBILANGU NI KWAMBA, WANASIASA WOTE WA VYAMA VYA SIASA WAKAE PEMBENI KABISA KWAKUWA TAYALI WAMESHA NAJISI ZOEZI ZIMA. KWA HALI ILIVYO MPAKA SASA IKITOKEA MCHAKATO UKAWA RASMI KATIBA HAITATOKA TENA ZAIDI KAMA HATUTAKUWA MAKINI TUTAISHIA KWENYE MACHFUKO MAKUBWA. WANASIASA WA VYAMA VINGI HAWAWEZI LETA KATIBA KWAKUWA WANAMLENGO TOFAUTI.
Sio kweli. Kama umewasikiliza wapinzani hasa Mbowe ameshauri mchakato kuhusisha makundi yote ya kijamii na kitasisi. Ninyi watu hua mnatoa coment kama vile watanzania wote ni mbumbuuu...kama kuna mtu anahisi mjadala ama hitaji la katiba mpya ni batili hyo mtu ni Hamnazo kabsaaa!!
 
HUYO MBOWE NIKADA MTIIFU WA CHAMA CHAKE. TENA NIKOSA KUBWA MTU KAMA MBOWE MWENYEKITI WA CHADEMA KUZUNGUMZIA KITU KAMA KATIBA, KUMBUKA KATIBA NI MALI YA WATANZANIA WOTE. HIVYO MBOWE HATAKIWI KUANZISHA SUALA LINALOHUSU KATIBA YA NCHI. MBOWE ANAHAKI YA KUTAFUTA KATIBA YA CHADEMA AMBAYO YEYE NI KIONGOZI WAKE. MWANASIASA YOYOTE AKAE PEMBENI HATAKIWI KUINGILIA KATIBA. KAMA WANASIASA HAWA WATAINGILIA ZOEZI TUJIANDAE KUPOKEA KATIBA MBOVU ZAIDI. KIPINDI CHA AKINA WALIOBA HAWAKUWA NA MSUKUMO WOWOTE WA CHAMA CHOCHOTE NDIO MAANA IKAPATIKANA RASIMU SAFI. HIVYO VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WASITUCHAFULIE MCHAKATO WA KATIBA AMBAYO NI MALI YA NCHI.
 
Kwan katiba ya sasa inamzuia mtu kuwa na madaraka hayo? Kama sio sasa katiba mpya ya Nini?
Ya sasa inategemea tu sauti ya mkulu akiamua asipandishe vyeo watumishi hapandishi akiamua Diwani apite bila kupigwa anapita unataka ushahidi
 
Back
Top Bottom