bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
14,259
2,000
1 June 2021

LIVE: PETER MSIGWA NA WAKILI MADELEKA WAWASHA MOTO WA KATIBA MPYA

MJADALA MKALI KUHUSU KATIBA NA HAKI ZA BINADAMU

Source : DARMPYA TV
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,357
2,000
Baada ya Mungu kutuepusha na kutuondolea balaa, ni muda muafaka kujenga misingi imara ya umoja na ustawi wa taifa letu kwa Katiba Bora, isitokee Tena aslani mwanya kumkaribisha dikteta.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Hata yule dhalimu magufuli alidhani KAIUA Chadema lakini huwezi kuua kitu kilichomo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua kirahisi kiasi hicho.
Hiki ndio walichobaki nacho hawa chadema kusifiana ujinga wakati chama kiko hoi
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,914
2,000
Hata yule dhalimu magufuli alidhani KAIUA Chadema lakini huwezi kuua kitu kilichomo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua kirahisi kiasi hicho.
Wewe beba mabox ya wazungu huko!!
 
CARDLESS

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,651
2,000
Samahani kama nitamkwaza mtu. HUYU MBOWE MI NAMUONA KILAZA KILAZA NA ANABEBWA NA KABILA LAKE KUONGOZA CHADEMA.
Matusi ruksa.
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,482
2,000
Hata yule dhalimu magufuli alidhani KAIUA Chadema lakini huwezi kuua kitu kilichomo mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua kirahisi kiasi hicho.
Chadema ipo mahututi, kwasababu badala ya kwenda mbele imerudi nyuma hatua 1000
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
😂😂😂😂😂chama kiko mahututi na bado maccm yanashindwa kushinda kihalali mpaka yatumie mtutu wa bunduki na wizi pia yanahofia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi 🤣🤣🤣

Hizo ni propaganda tu za Chadema walishindwa kihalali kabisa na ndiyo maana halikubaliana na matokeo hawakupinga mahakamani.
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,482
2,000
ccm ishukuru ujinga na uungwana wa Watanzania ndio Salama yetu.Kilichofanyika 2019 na 2020 chaguzi ilikuwa ni sababu kubwa na tosha, kuteketeza wanazi wa ccm, ushauri wangu mkae kimya na mtubu ,Kisha tushirikiane kudai Katiba mpya kwa ustawi na umoja wa taifa letu.
Ata mimi Mtanzania nimeridhika na ushindi wa ccm, nyie wapiga domo kila mwaka mkishindwa uchaguzi kulalamika tu , Kwahiyo hiyo ni tabia yenu, halafu hakuna kosa la kutubu hapo, tutubu kisa kelele za chura?acha kuchekesha watu
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
14,259
2,000
31 May 2021

CCM WANADHANI KUWA MANENO YAO NDIO SHERIA NA NDIO MAANA HAWAJUI KIPI KINATAKIWA KUANZA - KIGAILA

Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,748
2,000
Katiba mpya haizuii mtu kuwa:-
Rais
Waziri
Mbunge
Diwani
Mwenyekiti wa mtaa
Mjumbe
Sasa uoga wa nini
HAKUNA ANAYE PINGA KATIBA MPYA, ISIPOKUWA KWANZA WANAODAI KATIBA MPYA NI WANAHARAKATI WENYE VYAMA VYAO NA MATAKWA YA VYAMA VYAO. KWAHIYO MPAKA SASA WANASIASA KUDAI KATIBA NIKUTAFUTA KATIBA ITAKAYOJAA MLENGO NA MATAKWA YA WANASIASA KWA MASILAHI YA VYAMA VYAO. OMBILANGU NI KWAMBA, WANASIASA WOTE WA VYAMA VYA SIASA WAKAE PEMBENI KABISA KWAKUWA TAYALI WAMESHA NAJISI ZOEZI ZIMA. KWA HALI ILIVYO MPAKA SASA IKITOKEA MCHAKATO UKAWA RASMI KATIBA HAITATOKA TENA ZAIDI KAMA HATUTAKUWA MAKINI TUTAISHIA KWENYE MACHFUKO MAKUBWA. WANASIASA WA VYAMA VINGI HAWAWEZI LETA KATIBA KWAKUWA WANAMLENGO TOFAUTI.
 
Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
554
1,000

Umefanya utafiti kwa wananchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom