Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Akihamia Sumaye na Elia wakigoma ndio "wanahamia wanachadema" CCM? Kafie mbele!
Habari hizi ziko katika database ya chama, wenye kuhoji ni wanachama wewe yakuhusu nini? Nenda Mwanza huko ukasikilize habari za kuachiwa ndege labda unaweza sikia "mkulima mzungu Leo ameunga mkono juhudi na kuchukua kadi ya CCM pia kuachia ndege yetu kwa Kabudi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wanataga wapige sasa yaan Ada 2000 kwa mwaka kwa kipi wanachofanya

Naona kuanzia mwakani ruzuku inakata, maana kura za urais hawatapata za kutosha na wabunge hawatavuka 3
 
hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Hujui kitu sisi ndiyo tuko field tunajua tumefanya nini, ninyi mkitumia mabilioni yetu toka hazina kununua wapinzani uchwara sisi tumefanya kazi kubwa kimya kimya. Kwa taarifa yako na vilaza wenzako mnaoshinda mitandaoni kupika majungu,hicho kitengo chenu kinacholinda maslahi ya CCM kilijua kazi tuliyoifanya katika Chadema msingi na ndiyo ukabuniwa mpango mkakati wa kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kile ambacho kingetokea msingeamini na vi pacemaker vyenu vinge crush.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi na hiyo 6M ya wanachama. Otherwise tuone hiyo data base

Sent using Jamii Forums mobile app

Tena amechemsha kusema ni 6m, angesema 10m+. Sasa hivi kutaja idadi halisi ni kujipotezea mwenyewe. Unakumbuka tuliambiwa waliojiandikisha kupiga kura uchaguzi wa SM Ni 19m+ huku hatukuona misururu ya wapiga kura vituoni wakijiandakisha?
 
Huh?

Hawa si huwa wanasema wamekatazwa hata kufanya mikutano ya ndani ya chama chao..??

Hapo inakuwaje leo??

Wanaposema wamekatazwa huwa wanataja mpaka mahali walipozuiliwa. Ni wajibu wako kudhibitisha kama walicholalamikia ni kweli ama la. Mbona huu wa leo hawajasema kuwa wamezuiliwa ili useme hiyo waliyosema wamezuiliwa ni uongo?
 
hizo data ni za uongo. kila siku wana CHADEMA wanahamia CCM halafu huyu dj anasema chama kimeimarika? utapeli huu
Na hapo kawadanganya maksudi ili msiehuke, is twice as much, niamini Mimi najua na Nina uhakika ninachokisema, kama ametaja 6m multiply by Two! Ndio idadi ya wana chama wa CHADEMA, fuatilia posti zangu nimeshawahi kuandika kuwa ni milioni 12, wakijihujumu kwa kuweka nusu idadi, lengo ni kuamsha hasira!

Tegemea hasira zikija Mbogamboga hamna, maana, wakulima wanalia, watumishi wa umma wanalia, wafanyabiashara wanalia na wasio na kazi wanalia!!

Wanaofurahia na kuimba mapambio ni mapolisi, baadhi ya weje.... Wasiojitambua, wateule na wasakatonge! Idadi yao si zaidi ya milioni!
 
Tena amechemsha kusema ni 6m, angesema 10m+. Sasa hivi kutaja idadi halisi ni kujipotezea mwenyewe. Unakumbuka tuliambiwa waliojiandikisha kupiga kura uchaguzi wa SM Ni 19m+ huku hatukuona misururu ya wapiga kura vituoni wakijiandakisha?
Hao ni wale hai wenye kadi ambao tunawahesabu kama wanachama.Wapo mashabiki wasio na kadi kama milioni 4
 
Halima Mdee na Mbowe wanatafuna sana ruzuku ya chama, Halima alijua hatapita wagombea wengine wakapigwa mizengwe wasigombee
 
Back
Top Bottom