Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

namba za simu zote zimesajiliwa kwa mfumo wa NIDA zina ratibiwa na TCRA hivyo ni rahisi wanachama wao kufuatiliwa na kujulikana wanaishi wapi na wanapanga nini, hapa ni kuwatia majaribuni wanachama hasa wenye nyadhifa, sidhani kama ni njia sahihi kwa chadema labda kama wanatafuta njia rahisi ya kukusanya mapato na tozo mbalimbali kutoka kwa wanachama.
Acha kutisha watu for unknown fear. Kwamba kulipia ada ya uanachama ni kosa la jinai?
 
Back
Top Bottom