Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Kama kazipata kihalali mjadala wa nini?

Tutajuaje kama kazipata kihalali? Issue sio Mbowe kumiliki nyumba huko Dubai, ila ni njia alizotumia kufanya malipo ya hiyo nyumba ndio tatizo kama ni kweli alifanya kwa cash.
 
Kwani mabepari hawaruhusiwi kuongoza nchi hii!?? au unamaanisha nini mkuu..

Bepari hajawahi kuwa rafiki wa masikini hata siku moja, haswa kwenye nchi zetu za dunia ya tatu
Hapa tutakuwa tunaruka mkojo(ccm) tunakanyaga mavi(cdm)
 
nampongeza Mbowe kwa kuwa na nyumba nzuri, sawa na JK na viongozi wengine... nasikitikia mangula wa watu, kachoka hadi aavaa suti na adidas sijui nae kama ana jumba au ndio anajenga

wangeweka hata picha moja tuzione.
 
Bepari hajawahi kuwa rafiki wa masikini hata siku moja, haswa kwenye nchi zetu za dunia ya tatu
Hapa tutakuwa tunaruka mkojo(ccm) tunakanyaga mavi(cdm)

So mfumo wa uchumi wa nchi hii ni itikadi gani?
 
Kama mnavyofanya ninyi kumpigia debe jk kwa kulipwa 7500!??
kweli Chadema 90% vichwa vya panzi. kazi mnayo ya kutetea wajinga wenzenu, na ubaki mabaunsa kwenyekumbi zao. angalieni mtapakatwa hadi mnakufa.
 
So mfumo wa uchumi wa nchi hii ni itikadi gani?

- Kwanza niliwaamsha wananchi hapa na nyumba ya Sugu mkahamisha ile topic, sasa tizama yaliyowakuta aibu ya mwaka sasa njooni mhamishe na kwenye media ya bongo maana huwa ni mab ingwa wa kuhamisha na kuficha, aibu Mwalimu alisema mficha maradhi, ugonjwa au kifo vitamuumbua wakombozi wa wananchi mnawaandamanisha wananchi wanapigwa mabomu ya machozi na wengine mapaka kufa kumbe mna majumba ya kujipumzisha huko Dubai? aibu!!

- Mlisema MWalimu angekuwepo hili neno mnasema kila siku sasa tuwaulize Mwalimu alikuwa na nyumba ngapi nje? Ndio maana kila siku ninawatwanga maana ni wanafiki sana, mara mseme CUF ni mashoga halafu mnajiunga nao hao hao mashoga nyinyi ni watu hatari sana kwa taifa, eti wakombozi wa ulisikia wapi kwamba MAdela ana nyumba nje? aibuu sana!!

LE Mutuz
 
hongera Mbowe kwa kuwa mjasiriamali wa nguvu! Magamba wanakuonea wivu!
 
Kama Mbowe anamiliki mali hizo na bado anakubali kula makande na Chipsi kavu na kulala chini kwenye harakati za M4C bila kujali maslahi yake binafsi na anarisk maisha yake kwa ajili ya sisi walala hoi, mimi niko tayari kufa nae mstari wa Mbele kwenye mapambano, nyie akina TUNTEMEKE mmetufanyia nini watanzania zaidi ya kusambaza umbea dhidi wa watu wengine wanaolitakia mema taifa hili?

Mkuu umeongea ponti ambayo imenisisimua sana bg up
 
Last edited by a moderator:
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.

Ovyoooooooooo kwanza jifunze kuandika ili uvutie watu
 
- Kwanza niliwaamsha wananchi hapa na nyumba ya Sugu mkahamisha ile topic, sasa tizama yaliyowakuta aibu ya mwaka sasa njooni mhamishe na kwenye media ya bongo maana huwa ni mab ingwa wa kuhamisha na kuficha, aibu Mwalimu alisema mficha maradhi, ugonjwa au kifo vitamuumbua wakombozi wa wananchi mnawaandamanisha wananchi wanapigwa mabomu ya machozi na wengine mapaka kufa kumbe mna majumba ya kujipumzisha huko Dubai? aibu!!

- Mlisema MWalimu angekuwepo hili neno mnasema kila siku sasa tuwaulize Mwalimu alikuwa na nyumba ngapi nje? Ndio maana kila siku ninawatwanga maana ni wanafiki sana, mara mseme CUF ni mashoga halafu mnajiunga nao hao hao mashoga nyinyi ni watu hatari sana kwa taifa, eti wakombozi wa ulisikia wapi kwamba MAdela ana nyumba nje? aibuu sana!!

LE Mutuz

Mtababwaja sana mwaka huu, mbowe karidhi mali nyingi sana kwa Baba yake ambae alikuwa tajiri sana,hata mwalimu Nyerere anafahamu hilo.. Nenda uchagani kule kaulize kwa akina Mbowe kuna utajiri kiasi gani? We umekuwa baharia huna kitu unalia lia hapa!
 
Tehe tehe tehe.
Sasa wewe mtu na zero yako umtwange nani? Phewwwwwww...!
 
- Mbona hmakuwahi kulisema hata siku moja kwamba mna majumba lukuki huko nje, unasema mzee mbowe alikuwa na majumba nje? kweli wajinga ndio waliwao, leo hamchomoki hapo!!!

LE Mutuz
 
Tehe tehe tehe.
Sasa wewe mtu na zero yako umtwange nani? Phewwwwwww...!

- ha! ha! wakombozi wa wanyonge na masikini walalhoi na majumba nje mpaka Dubai, wallahi kumbe ndio maana mnamuogopa sana Zitto, Mungu ambariki sana maana tusingeyajua haya!!

LE Mutuz
 
JE WATANZANIA TUTAHITAJI KIONGOZI MWENYE ACCOUNTS ZA NJE YA NCHI. MTU KAMA HUYU AKIWA WAZIRI WA FEDHA AU CHEO KIKUBWA KAMA WAZIRI MKUU AU RAIS FEDHA ZETU ZITAPONA?:frusty::frusty::frusty::frusty: EEEE MUNGU TUNUSURU NA HAWA JAMAA,HAPANA HUYU HATUFAI
 
- ha! ha! wakombozi wa wanyonge na masikini walalhoi na majumba nje mpaka Dubai, wallahi kumbe ndio maana mnamuogopa sana Zitto, Mungu ambariki sana maana tusingeyajua haya!!

LE Mutuz

Kwani Zitto amekwenda Uswisi kufuatilia fedha za ufisadi zilizofichwa na maccm au amekwenda Dubai kujionea nyumba ya Mwenyekiti wake? Unajua kuna watu mmekulia katika mazingira mazuri mkilishwa na kusomeshwa kwa kodi za wanyonge lakini bahati mbaya mna roho za kimasikini utadhani vigagula.
 
babu alikopa Chadema M.500 akajenga hotel ya billion 1.4 manyara. chaajabu mkopo na thamaani ya hotel havifanani ata kidogo na kaijenga 2011

Kama ni baba ya mama yako una shida gani kwani haya wewe mjukuu utakuwa na sehemu.
 
Kwani Zitto amekwenda Uswisi kufuatilia fedha za ufisadi zilizofichwa na maccm au amekwenda Dubai kujionea nyumba ya Mwenyekiti wake? Unajua kuna watu mmekulia katika mazingira mazuri mkilishwa na kusomeshwa kwa kodi za wanyonge lakini bahati mbaya mna roho za kimasikini utadhani vigagula.

Mwita,
Ulicho andika vinaendana kweli na umri wako??
 
Back
Top Bottom