Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

ukweli mchungu. Ben unajidhalilisha sana kwa kukosa umakini

Kama nimejidhalilisha sana kwa Typing Error sijui yule aliyeamrisha Wezi wa EPA warudishe fedha walizoiba atakua amefanyaje?Yule aliyesimamia mchakato wa Kifisadi wa RICHMOND atakua amefanyaje?Yule aliyeshiriki kuanzisha CCJ atakua amefanyaje?Yule aliyeshinikiza kufungua kesi za Ugaidi dhidi ya CHADEMA atakua amefanyaje?Aliyesema safari hii ni zamu ya Mwanamke kuwa Spika wa Bunge atakua makini kiasi gani?Aliyesema Polisi wapige Raia je?Aliyesema wanaoua albino nao wauawe je?Aliyesema Majangili wauawe je?Aliyesema hajui kwanini Tanzania ni Maskini tena msomi wa Taaluma ya Uchumi ni makini kiasi gani?Nadhani aliyesema wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao huku akiwa kama mzazi na kiongozi wa nchi alijiheshimu sana.Loh!
 
Muda si mwingi jamaa watakuja na singo juu ya pesa za Ndesapesa. Pesa ya Mbowe ipo wazi sana. Jamaa kazaliwa pesa kazikuta.
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.

Ipo wapi hoja
 
Yotwe Majizi nina wasiwasi na waliotoka US na vimada juzi nao hivo hivo
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.

Childish thinking!!
 
watu wanamikakati ya muda mrefu, na muda mfupi, kwa hiyo nyumba ya dubai, kikinuka tu, huyoo anaishia zake kupumzika, sasa wanaachwa wale wasiojitambua kuonja joto ya jiwe, hii si sawa, watu waamke sasa..wanasiasa kama hawa hawana mema na nchi

acha wivu wa kike,wakati wenzio wanafanya kazi kutafuta ankra wewe umejificha nyuma ya keyboard kutetea mafisadi na wezi wanaofilisi nchi kwa malipo ya buku 7,nyambafu sana
 
#ASANTE BEN! KAZI NI KUBWA KWELI YA KUELIMISHA MAZUZU MPAKA YAKAE KTK MSTARI "ignorancy rate in tanzania is so high in level"
unamaanisha m/kiti wa Chadema or? mbona unajikanganya mwenyewe? au Sugu, Wenje, Msigwa? mbona sikuelewi? au ndo unawapost kwa makusudi? kweli chadema vilaza vitupu.
 
mkuu, ipo siku CHADEMA watakuja kulikana hata gazeti lao Pendwa la Tanzania Daima

Kumiliki nyumba dubai sio tatizo, Mbowe ni mfanyabiashara wa ndani na nje

Anamiliki pia Club Billicanas, ipo kabla ya uhuru, Mbowe amerithi utajiri, hilo gazeti la Tanzania Daima sio la Chadema, ni la Mbowe lipo chini ya Free Media

Kuna raia wengi wa kigeni wanamiliki majumba na maghorofa kadhaa hapa Tanzania, ila sijapata kusikia nchi zao zikiwauliza kwa nini mmejenga au kununua majumba Tanzania.

Tuache ujinga, kama tunavyowachangamkia wageni kuja kuwekeza hapa nasi tunapaswa kuzitafuta fursa popote pale na kuzikamata
 
mkuu, ipo siku CHADEMA watakuja kulikana hata gazeti lao Pendwa la Tanzania Daima
Una uhakika? Jaribu kuandika kitu cha maana angalau mwanao akija kusoma atjua ana mzazi mwenye hekima
 
WANAJAMVI:

Sasa hivi ni dhahiri kwamba ile issue ya hela za Uswisi imepotoshwa – na yote hii ni kutokana na umbumbumbu wa Watz na usanii wa watendaji wa serikali ya CCM – ambayo kwa suasua yao kwa lengo la kutaka ukweli kamili kutofahamika tangu issue ilipoingia hadharani Juni mwaka jana, wameweza kuipunguza makali.


Sasa hivi linaloongelewa ni kwamba kuna baadhi ya Watz wameficha hela ughaibuni, na sasa hivi si hela tu, hata majumba. Watz kuwa na hela nje (au majumba) liko siku nyingi sana – tangu wakati sheria ya Exchange Control ilipolegezwa mapema miaka ya 90 kuruhusu Watz kuwa na fedha zao za nje kuagiza bidhaa. Pia wakati huo ndipo zilianzishwa Bureau du Change.


Lakini bila shaka hadi sasa ni makosa kuwa na account nje ya nchi bila ya BoT kuarifiwa, ingawa hii haitiliwi mkazo sana hasa ukizingatia suala la Chenge kukubali kuwa na akaunti nje (katika suala la Radar na BAE) ingawa alikataa kata kata kwamba zilitokana na milungula aliyolipwa. Hata hivyo angeweza kushitakiwa kwa kutoiarifu BoT.


Suala hili za hela za Uswisi zilianzia pale ripoti za kibenki huko Uswisi ziliposema kuna vigogo wa Tanzania ambao wana mabilioni katika akaounti huko Uswisi, akaounti ambazo hawakuzifungua wao, bali zilifunguliwa na makampuni ya kimataifa yanayojihusisha na uchimbaji/utafutaji wa mafuta na gesi hapa nchini. Vigogo hao ni wale wenye nyadhifa kubwa serikalini katika sekta hiyo, au waliokuwa katika nyadhifa hizo miaka kadha ya nyuma.


Serikali, pamoja na ‘mtu wao’ Zitto Kabwe wangeweza kujikita katika line hii tu ya uchunguzi, ambayo kwa hakika fedha hizo ni milungula kutokana na mikataba mibovu ya uchimbaji/utafutaji mafuta na gesi. Hawa vigogo hawazidi 10 na ni rahisi tu kuwahisi. Ukitaja majina matano tu walikouwa katika nyadhifa hizo huwezi kuwakosa wawili wahusika – yaani wenye akaunti Uswisi zilizowekewa fedha na hayo makampuni.


Tumuombe Zitto asijihusishe sana kubadilisha line ya uchunguzi, kama wanavyotaka MaCCM, na ajikite katika kuwabaini wachache hawa waliofunguliwa akaunti na kifisadi huko Uswisi.

Tujikumbushe na habari hii katika The Citizen mwaka jana, ambayo iliwahi kuwekwa humu ndani – na hasa kwenye highlight in red:

New hint on TZ who’s who in Sh303bn Swiss accounts

By Mkinga Mkinga | The Citizen Reporter | Monday, 25 June 2012


Dar es Salaam.

The International Police Organisation (Interpol) in Dar es Salaam has said some local political bigwigs are behind the stashing of colossal amounts of money in Swiss banks, The Citizen can reveal today.

Interpol sources told this newspaper in an exclusive interview over the weekend that politicians and scores of other individuals have fat accounts in Swiss banks, but the money wasn’t deposited by account holders themselves.


The cash, our sources said, was deposited into the Tanzanians’ accounts by certain oil exploration and mining firms operating in the country.

On Saturday, this paper reported that some Tanzania’s big shots have stashed away Sh303.7 billion in Swiss banks, according to a report by Swiss National Bank (SNB).

This amount was more than double the Sh133billion swindled through the External Payment Arrears (EPA) from the Bank of Tanzania in 2005/06. A handful of businessmen and erstwhile BoT employees have appeared in court in connection with this scandal.

Also, this amount of money can run the budget of the ministry of Livestock and Fisheries for five years, going by the current exchange rate of Sh1,660 to the Swiss franc.

The ministry of Foreign Affairs and International Cooperation would run its affairs for two years.


The sources said initial inquiries from Swiss authorities have established that about Sh303.7 billion are in six different accounts owned by individual Tanzanians, including influential politicians.

However, the Interpol sources said information coming from Switzerland indicated that since the accounts were opened the legal owners have not deposited a single coin.

“Our enquiries have established that the moneys are in about six different accounts owned by influential Tanzanian politicians …our counterparts in Switzerland have established that the money has been deposited by several companies which have interests in oil searching and mining in the country,” the sources said.

Asked to shed more light over the information, the source said their counterparts could not divulge the names of account holders for now, since it would be against the rules and regulations guiding the financial sector in Switzerland.

The source said under the Switzerland principle of bank secrecy, privacy is statutorily enforced, with Swiss law strictly limiting any information shared with third parties, including tax authorities, foreign governments or even Swiss authorities, except when requested by a Swiss judge’s summons.

The report has created anxiety, with some top politicians calling The Citizen newsroom enquiring for more details like names of those thought to have stashed away the money.

“Sorry for calling you at this midnight hour….actually, I would like to congratulate you people for the very good article today (Saturday) ...but please look if you have access to the report and kindly make it available to me,” requested one senior politician (name withheld).

On Saturday the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) said it was getting in touch with Swiss authorities to help trace the money and those who own it.

PCCB director-general Edward Hoseah said his office has the information and it was following up with Swiss authorities.

Dr Hoseah said he would be seeking to establish how the money was deposited in the Swiss banks, the people involved and the nature of those transactions.

Responding by phone from Arusha, he said he was putting in place strategies on how to get more information on the report.

Other countries whose nationals have stashed away wealth in Switzerland (in Swiss francs) include Kenya (818 million), Uganda (154 million), Egypt and South Africa (1.914 billion each), the Seychelles (2.515 million), Zimbabwe (96 million), Senegal (150 million), Rwanda (29 million), Sierra Leone (29 million), Somalia (1 million) and Sudan (796 million).

The amounts, described by SNB as “liabilities of Swiss banks towards clients from different countries” do not necessarily project the much-talked-about black money held by Tanzanians in the safe havens of Switzerland.

The total overseas funds in Switzerland’s banking system stood at 1.53 trillion Swiss francs, the report adds.

At the same time, global pressure on Switzerland has been mounting, with demands that the country orders its banks to share information about clients with foreign governments.

Tanzania’s anti-corruption boss said Tanzania would need to establish from Switzerland who owns the money and if it happens it were money that has been illegally earned, he would consult the BoT on the immediate steps to take.

“After we have established where the money originated, we will follow due procedure and make sure it is returned home,” Dr Hoseah said, adding: “We shall use the relevant international law to sort this thing out.”

Recently, the Bank of Tanzania received over Sh72 billion as compensation for a dubitable military radar transaction under a settlement agreement between the government of Tanzania and British Aerospace Defence System Limited.

Over expenditure in the construction of the BoT twin towers is among scandals that have cost Tanzania billions in taxpayers’ money.


Source: The Citizen
 
Muda si mwingi jamaa watakuja na singo juu ya pesa za Ndesapesa. Pesa ya Mbowe ipo wazi sana. Jamaa kazaliwa pesa kazikuta.
mzee mbowe alituibia Watanzania wakati amekabidhiwa kuwa mkurugenzi mkuu TRA, hicho ndo kilifanya mbowe na nduguyake Fred maunga kutosoma.
 
Kumiliki nyumba dubai sio tatizo, Mbowe ni mfanyabiashara wa ndani na nje Anamiliki pia Club Billicanas, ipo kabla ya uhuru, Mbowe amerithi utajiri, hilo gazeti la Tanzania Daima sio la Chadema, ni la Mbowe lipo chini ya Free Media Kuna raia wengi wa kigeni wanamiliki majumba na maghorofa kadhaa hapa Tanzania, ila sijapata kusikia nchi zao zikiwauliza kwa nini mmejenga au kununua majumba Tanzania. Tuache ujinga, kama tunavyowachangamkia wageni kuja kuwekeza hapa nasi tunapaswa kuzitafuta fursa popote pale na kuzikamata
huu ni upuuzi kutetea upumbavu? au unafikili kibalua chako kitaota majani Bill kama hukumtetea? unafaham ilo jumba kanunua lini na mwaka gani na babu Slaa kajenga hotel ya kitalii wapi? acha ulimbukeni wa kujijali mwenyewe na kusahau maslai ya Watanzania
 
ina maana mbowe hana ndugu kama mnavyodai kuwa mali ni za kurithi!? Huyu ni fisadi kama walivyo nafisadi wengine..shame on him.
 
Kumiliki nyumba dubai sio tatizo, Mbowe ni mfanyabiashara wa ndani na nje

Anamiliki pia Club Billicanas, ipo kabla ya uhuru, Mbowe amerithi utajiri, hilo gazeti la Tanzania Daima sio la Chadema, ni la Mbowe lipo chini ya Free Media

Kuna raia wengi wa kigeni wanamiliki majumba na maghorofa kadhaa hapa Tanzania, ila sijapata kusikia nchi zao zikiwauliza kwa nini mmejenga au kununua majumba Tanzania.

Tuache ujinga, kama tunavyowachangamkia wageni kuja kuwekeza hapa nasi tunapaswa kuzitafuta fursa popote pale na kuzikamata

Kila siku huwa nasema chadema ni saccos kama zilivyo saccos nyingine.!
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.

Mkuu umeona wajinga ndo waliwao.
 
Back
Top Bottom